Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,763
Hasara bwanaHiyo sio hasara
Hasara bwanaHiyo sio hasara
Hata sikuomba alitaka sifa tu. Na mie siwezi kukataa offer ya zawadi ujueUkome kupiga mizinga ovyo
Usikute wazee wake bado wanaishi kwenye nyumba ya nyasi na wanatumia simu ya jiran kila wakitaka kuongea na yeye. Waafrika wapumbavu sanaWazee wako umewabadilishia vile vitochi wanavyotumia?!
hahahahahaaaaaaSio vyote
Hasara ingekuwa nywele kaondoka nazo yy wakati umelipa wwHasara bwana
Eeeeh kuvirudia ni kujiumiza tumboVingine vimechacha...🙂🙂🙂
Hata kama bwana mi sikua na budget ya nyweleHasara ingekuwa nywele kaondoka nazo yy wakati umelipa ww
Hujaoneshwa hela labda ,Mzigua!Eeeeh kuvirudia ni kujiumiza tumbo
Lakini ndio ushalipa tyrHata kama bwana mi sikua na budget ya nywele
Mimi hela sio ulimbo kwangu. Napenda hela ila walaaa sizitumikiiHujaoneshwa hela labda ,Mzigua!
Lakini ndio ushalipa tyr
Unafikiri mkitupiga-ga vizinga tunakuwa-ga tulibajetia basi!








Thubutuuuu yakooo! hahahaaaMimi hela sio ulimbo kwangu. Napenda hela ila walaaa sizitumikii
Kweli. Kuna mtu alisema labda hawajafikia dau languThubutuuuu yakooo! hahahaaa



Sio mazuri ujue na hapo ndo ninapo wakubali wanaume.Unacheka kama mazuri
hahahahaaa
Wala hakukosea- Mzigua90 kbs wewe wewe huyu huyu burungutu la hela limewekwa mezani paaap, ukatae kupasha kiporo!? aaah waaapi nakataaa kata kataKweli. Kuna mtu alisema labda hawajafikia dau langu![]()
Sisi akili zetu tunajijua wenyewe.Sio mazuri ujue na hapo ndo ninapo wakubali wanaume.
Inategemea you knowWala hakukosea- Mzigua90 kbs wewe wewe huyu huyu burungutu la hela limewekwa mezani paaap, ukatae kupasha kiporo!? aaah waaapi nakataaa kata kata
