Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Mechi ilikuwa mbovu sana, nazuiliwa usinishike maziwa, usiweke mto chini, nachaguliwa style.

Nilishuka nikavaa, nikaoga kabla sijamaliza, nikavaa nikampa 20 ya nauli, nikamwambia silipii ujinga, ndo kuanza kwa heshima.
Mkuu sasa wewe umelipia sex unataka kuonesha ufundi na mapenzi?! Kojoa uondoke
 
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Nipe namba yake, sioni shida kumpa hichi kiasi
 
Mechi ilikuwa mbovu sana, nazuiliwa usinishike maziwa, usiweke mto chini, nachaguliwa style.

Nilishuka nikavaa, nikaoga kabla sijamaliza, nikavaa nikampa 20 ya nauli, nikamwambia silipii ujinga, ndo kuanza kwa heshima.

Hahahaaaa daaah umenichekesha sana aisee.

Nishakutana na wa hivyo katika moja ya mizunguko yangu.
 
I’m matching the offer!

4C407A21-6B8E-4768-8C19-459DB51BF0E2.jpeg
 
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.

Huyo Demu fanya yafuatayo heshima itarudi:

1. Fahamu ni kiasi gani anataka kuongezewa kisha muambie aje home kuchukua ila aje na pesa aliyonayo uhakikishe kama kweli amejipanga... (USIGOPE PICHA LINAANZA) Mdrill kisha mpatie hiyo pesa, kama huna yote mpe iliyokuwepo kisha mwambie ilikuwa ghafla mno so aijie kesho.

2. Unapompa pesa, ukimdrill hakikisha anatoka hapo jioni jioni au usiku kabisa na akitoka vaa mask lako mfuatilie akikata chobingo tu piga roba chukua help yote rudi kulala kimya, Lazima atarudi anakimbia ‘Baby nimeibiwa pesa yote’ Jinyooshe kitandani mwambie ‘Pole baby huu mtaa washenzi kweli yaani...bora ningekusindikiza...njoo upumzike utulie kidogo asubuhi nitaenda kukutolea nyingine’ Akikanyaga kitanda mkumbatie, Mpetipeti kisha Drill tena kupoza machungu.

3. STEPU ya mwisho kabisa, Asubuhi jifanye unatoka kidogo kwenda ATM ( Kibunda chako hesabu ya jana yote iko kibindoni) kaweke hela yako uliyomuongezea kwenye Simu Pesa kisha rudi na amount yake aliyokuja nayo jana au pungufu kidogo. Mwambie ‘Baby nilikuwa nikuongezee hii sasa kwa kilichotokea jana chukua hii ukatafute simu yoyoye ya kutumia kwa muda halafu tutaangalia Utaratibu polepole...Hakyanani vile atakushukuru na makisss mazito mazito, Mdondoshee Uchagoni Ji drillie zako viwili kisha msindikize kwao. Na wewe Kashushie supu ya Kongoro kujipongeza. Kushnei!
 
Back
Top Bottom