Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,761
Mwanangu ntamfundisha hivyo hivyo kusave.Safi sana jitahidi uwafundishe na wanao wawe kama wewe hasa wa kike
Mwanangu ntamfundisha hivyo hivyo kusave.Safi sana jitahidi uwafundishe na wanao wawe kama wewe hasa wa kike
Mwanangu ntamfundisha hivyo hivyo kusave.
Mwanangu mwanaume ntamwambia kabisa akiwa mchoyo wakwe wazuri ataishia kuwaita mashemeji.Mfundishe na kutokuwa mchoyo, asevu ila ahonge kidogo kidogo
Ni kweli, Umeona mbali sana.
Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!




Comment yake imenichekesha maana nimekumbuka tukio langu la juzi juzi. kuna mtu aliniambia niagizie nachokitaka Dubai nikaagiza nywele. Nywele zimefika kumbe hana hela




. Nikalipa 250k mwenyewe na inaniuma hadi leo kumbe alikua anataka sifa tu kwa rafiki angu wakati hana 100. Ila nilimchambaaa kwa kunitia hasara ya hela yote2 hiyoNimeachaAcha uchochezi...

Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Ndo mana siwezi oa single mazao, apo akitaka kukumbushia, utazuga hutaki.Tuliachana toka siku mimba imeingia. Anakujaga kumuangalia mwanae mara moja kwa miezi mitatu. Hayupo kwenye maisha yangu ya mahusiano kabisa
Hasara umepata vipi kwani nywele hujapewa?Comment yake imenichekesha maana nimekumbuka tukio langu la juzi juzi. kuna mtu aliniambia niagizie nachokitaka Dubai nikaagiza nywele. Nywele zimefika kumbe hana hela. Nikalipa 250k mwenyewe na inaniuma hadi leo kumbe alikua anataka sifa tu kwa rafiki angu wakati hana 100. Ila nilimchambaaa kwa kunitia hasara ya hela yote2 hiyo
Wazee wako umewabadilishia vile vitochi wanavyotumia?!Juzi tu nimetoka kumnunulia demu wngu simu kama hiyo![]()
![]()
![]()
![]()
Kama nataka si nampa. Sitaki ndio. Niko na huba jipyaaNdo mana siwezi oa single mazao, apo akitaka kukumbushia, utazuga hutaki.
Sa si nimelipia mwenyewe mwagizaji kaingia mitiniHasara umepata vipi kwani nywele hujapewa?
Kiporo dawa yake kupashwa tuKama nataka si nampa. Sitaki ndio. Niko na huba jipyaa
Hiyo sio hasaraSa si nimelipia mwenyewe mwagizaji kaingia mitini
Sa si nimelipia mwenyewe mwagizaji kaingia mitini
Sio vyoteKiporo dawa yake kupashwa tu