Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Kumbe video za bongo flava zinaongeza thamani....sio Fruit huyo?
Fruit ana nyodooo ila alikutanaga na mbabe wake. Kuna siku aliitwa na mshkaji wangu Tips. Akasema gari haina mafuta atumiwe hela. Sasa alikua na 30k kwenye simu akamwambia nakutumia hii ukifika ntakuongezea. Fruit akairudisha ile hela akasema haitoshi. . Kaka akasema sawaa. Baada ya kama masaa mawili fruit akaja. Akaja kwenye meza kusalimia akamuita yule kaka pembeni eti amsamehe kuna mtu alikua anatumia simu yake ndo alirudisha ile hela. Alijua akirudisha ataongezewa kumbe mwenzie mtoto wa mjini pia
 
Hivi unaweza kufanya conversation yoyote ya maana na Fruit? Maanake kutoka na mtu sio kugegeda tu.
 
Mmenihangaisha sana na hili jina, eti Fruit!

Wazembe, wenzao wanaofanya hizi kazi kama business wameinvest kichwani, mpira mnaongea, siasa, uchumi, burudani.

Sasa ukae na mtu 0 kichwani, muda wote yuko insta masaa 3 tu ni issue.
 
Halafu ulipie 2m! Dunia ina maajabu sana.
 
Back
Top Bottom