Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Sasa imani ya chama itupeleke wapi. Sisi shida yetu walipe kodi tu basi
Teh teh! MakujifarijiWadau,
Nimehamasika kuweka hii kura baada ya Mdau mmoja Nyani Ngabu kuweka Uzi kua Imani yake (pengine na wengine) kwa CHADEMA imepotea baada ya CHADEMA Kuhairisha maandamno yao yaliyokua yafanyike tarehe 01/09/2016.
Post hiyo ipo humu Bado wapo wenye imani na CHADEMA?
Binafsi bado nina imani na CHADEMA, na hata pale baada ya kuhairishwa nahesabia kama CHADEMA imepata ushindi mkubwa sana kwa jinsi upande wa pili ulivyolichukulia hili swala serious na kujiandaa kukabiliana nalo. Nguvu iliyotumika kujaribu kuizima ni dhahiri kua dhamira ya UKUTA ilifanikiwa, ila kwa namna ingine.
Ulitaka ajenge 'spirit' ya uoga na kujipendekeza kama huko kwenu lumumba. Poleni.Anachokera zaidi ni ule uwezo wake wa kujenga spirit ya kiburi miongoni mwa watu wanaomuamini. Hana kabisa humility, hawezi kujishusha akawa katika level ya mtu wa kawaida. EL pamoja na kukejeliwa sana na viongozi wa juu wa chama tawala lakini bado alikwenda kwenye sherehe ya mzee BWM, that is what we call humility, that can only be found in a true leader, it comes from heart not mind.
FAM anakosa sifa za asili za kuwa kiongozi, kwani kuongoza ni zaidi ya kuendesha vikao vya chama na kuhutubia jukwaani, mtindo wako wa maisha pia ni sehemu muhimu wa sifa za uongozi.
Ni sawa na Lucifer kujifanya anamshauri malaika wa Mungu namna ya kumpenda MunguHuo ndiyo ukweli ulio wazi.
Sina uhakika kama uko sawa kwa kutukuza English, lugha ambayo nina uhakika ni tatizo kwako. kumbe hujui lugha ya ya Taifa si 'English' au! Umesomea "english medium school"! Hongera kwa ujuha huo. Aibu.
Mbowe kweli ni mwiba mchungu kwenye mioyo ya wapenda amani na maendeleo, nchini. Alijidhirisha kama Kiongozi mwanamapinduzi kwa kauli zake za kuchukia maouvu katika jamii (rushwa, ufisadi, ubadhirifu) na utendaji mbovu (uzembe) wa watumishi wa serikali. Laiti angesimama kama mgombea Urais wakati huo, badala ya Slaa, naamini angeshinda.
Kwa sasa Mbowe kakosa mwelekeo, ila imedhihirika wazi kwamba kumbe ni mjasiriamali kisiasa. Amemkaribisha mtu ambaye chama chake kilimtuhumu ni fisadi papa, kwa sababu ya umaarufu wake kisiasa, ili apate majimbo mengi ya uchaguzi (ruzuku). Angalau hiyo ruzuku basi itumike kama mtaji wa kuweka vitega uchumi vya chama, ioi kiinuke kiuchumi na kuweza kujijenga zaidi, badala ya kuendesha operesheni za kujinufaisha binafsi na kikundi cha watu wachache kwenye chama.
Angalau atumie akili na kutambua kuwa greda au tingatinga linaweza kuvunja ukuta ndani ya muda wowote ule.Ulitaka ajenge 'spirit' ya uoga na kujipendekeza kama huko kwenu lumumba. Poleni.
Nchi inaongozwa kwa katiba, na sio matamko. Mengine hayo hatuyahitaji.Angalau atumie akili na kutambua kuwa greda au tingatinga linaweza kuvunja ukuta ndani ya muda wowote ule.
Unapowajengea watu spirit ya kuwa na kiburi, kumbuka kwamba unapambana na mamlaka ambayo inaweza kukudhuru anytime.
Kosa la huyo ambaye akipiga chafya watu kama nyinyi mnapatwa na mafua ya muda mrefu, ni kwamba hajui kwamba tactics za mapambano huenda zikibadilika, hazipaswi kubakia ni zile zile.
Kuongozwa na katiba sio kigezo cha watu kuendelea kuishi maisha ya kukariri.Nchi inaongozwa kwa katiba, na sio matamko. Mengine hayo hatuyahitaji.
Hizo hadithi za kutunga. Wakati wa kuapa hakutumia hizo hadithi, alitumia katiba. Kitaeleweka tu bado kitambo kidogo tu na nyie mtafumbuka macho. Mungu awabariki. AMEN.Kuongozwa na katiba sio kigezo cha watu kuendelea kuishi maisha ya kukariri.
Wakati masikini anapoishi kwa shida wakati uhalisia wa mambo ni kwamba anayemuibia haki yake ni msomi aliyesomeshwa kwa kodi ya masikini huyo huyo tena anayoilipa kwa shida, katiba inakuwa kazini kama kawaida.
Wakati mkurugenzi analifisi shirika la ndege mpaka nchi inazidiwa na kina Ethiopia, Kenya na Rwanda, katiba inakuwa kazini kama kawaida.
Punguzeni kuishi kwa kukariri kama vile mwanafunzi anavyokariri ili aweze kufaulu mitihani ya darasani.
Katiba aliyoapa kuitumia ndio hiyo ambayo imeuvunja UKUTA. huwezi kuishi kwa kutegemea kificho cha demokrasia, ukawa na uwezo wa kupambana kiuchumi na wanaokuzunguka. JK aliwapa uhuru mkubwa sana wa kuongea, matokeo yake mkaishia kumtusi na kumdhalilisha.Hizo hadithi za kutunga. Wakati wa kuapa hakutumia hizo hadithi, alitumia katiba. Kitaeleweka tu bado kitambo kidogo tu na nyie mtafumbuka macho. Mungu awabariki. AMEN.
Nadhani umeanza kuota.Nenda kaisome, hakuna popote panapozuia siasa kwa wengine isipokuwa yeye tu. Kapumzike.Katiba aliyoapa kuitumia ndio hiyo ambayo imeuvunja UKUTA. huwezi kuishi kwa kutegemea kificho cha demokrasia, ukawa na uwezo wa kupambana kiuchumi na wanaokuzunguka. JK aliwapa uhuru mkubwa sana wa kuongea, matokeo yake mkaishia kumtusi na kumdhalilisha.
Mnapozimwa tangu mapema maana yake imeshagundulika kwamba hamna shukrani hata kidogo.
Na mtu asiye na shukrani siku zote huishi kwa kutegemea fadhila inayotokana na uvumilivu wa mtu.
Mmekariri maisha, ufike wakati wa kubadilika, na muwe tayari kuyapokea mabadiliko. Vinginevyo mtaishia kulalama na kulialia bila ya kuwa na nguvu zozote za maana za kubadilisha chochote kile.
Wewe ndiye uliye ndotoni. Sijakataa juu ya uhuru wa katiba. Naongelea umasikini unaotuzunguka na juuya utatuzi wake licha ya uhuru mkubwa ulio ndani ya katiba.Nadhani umeanza kuota.Nenda kaisome, hakuna popote panapozuia siasa kwa wengine isipokuwa yeye tu. Kapumzike.
Katiba iko wazi, hayo mnayochomeka ndio tatizo lenyewe, kwa malengo yenu maovu. Over and outWewe ndiye uliye ndotoni. Sijakataa juu ya uhuru wa katiba. Naongelea umasikini unaotuzunguka na juuya utatuzi wake licha ya uhuru mkubwa ulio ndani ya katiba.
Uhuru wa kuwakilisha hisia zako ulio ndani ya katiba unakuwa na faida zipi ikiwa hauwezi kuongeza pato lako na langu?.
Sifa za nchi kuitwa ya kidemokrasia zina faida gani, ikiwa hakuna ubunifu wa kutafuta maisha yenye neema miongoni mwa raia wake?. Ambao bila ya hata wanatembea na nguo zenye viraka lakini wapo huru?.
Katiba kuruhusu siasa haimaanishi nchi iwe na anarchy. JK aliwapa uhuru mkubwa sana, bahati mbaya miaka yake kumi mkashindwa kuuthamini. This time around you will be dancing according to the song that is played by our current leadership.Katiba iko wazi, hayo mnayochomeka ndio tatizo lenyewe, kwa malengo yenu maovu. Over and out