Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Samahani Nyani Ngabu, enzi za utoto uliishi maeneo ya upanga, obay, sea view au mitaa ipi?.Mimi baba yangu ni mtu mkubwa sana serikalini.
Ni bonge la economist.
Alisomea Princeton enzi za Nyerere😀.
Ndugu yangu kama JK alizoea kuwapa uhuru kama ule ambao babu anampa mjukuu wake kiasi cha kuchezea kidevu chenye mvi,this time better be careful. Hakuna tena muda wa siasa za kitoto. Badilisheni uongozi wa juu kabisa, ili muweze kuwa na watu wengi watakaozielewa vision zenu. Otherwise mnaeleka shimoni,Tena wanaume wa Dar mnatakiwa mshkuru UKUTA umesababisha tarehe 1 september mfanyiwe kazi ya usafi wa mitaro na wanajeshi, kazi ambayo bila uwepo wa UKUTA mngeaifanya nyie.
Kwa hiyo wanaume wa Dar ni muhimu kuunga mkono "The Wall Mission"
Ndoto. Utakapoota tena uwajulishe hatuwahitaji.Hakuna mwenye imani na chadema
Niliwahi kuweka thread iliyowashauri CHADEMA wabadilishe uongozi wa juu kabisa licha ya kuweza kuongeza idadi ya wabunge. Walipata wabunge wengi kwa sababu Lowassa has a very powerful personality and not because Mbowe is a capable leader, that is all.
CHADEMA needs new blood at the very top, otherwise siwaoni wakiongeza idadi ya wabunge, come 2020.
Niliishi IkungulyabashashiSamahani Nyani Ngabu, enzi za utoto uliishi maeneo ya upanga, obay, sea view au mitaa ipi?.
Sio kweli,Baada ya chama kuchukuliwa na Lowassa ameamua kukigeuza kikundi cha maigizo.
Ukuta sio wa mbowe wala chadema. Ukuta ni wa watanzania wote..kama haujaridhishwa na mamuzi ya chadema..shika bango ingia mtaani...ukuta ni ideologyHawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Wa kujisahihisha ni wakanyaga katiba. Na kwa mashamushamu Mkulu na wenzie waliishaanza kuzungumzia mchakato wa kuleta 'katiba mpya'. Mmmh ili wapate kipya cha kusigina?sijajua kama watabadilika ila ukweli unauma chadema imepoteza muelekeo isijasahihishe ....
Hawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Hahahaha, nimekusoma, maana unawafahamu sana jamaa wa shaaban robert wa enzi zile za 80 na 90s. Enzi za marehemu Msomali.Niliishi Ikungulyabashashi
Sijapanic, ninawaonea huruma watoto wa masikini ambao wakipigwa virungu huwa hawana uwezo wa kwenda Aga Khana au TMJ au nje ya nchi kule Apollo India. Ninawaonea huruma kina Salim Mwalim, wanaoacha familia zao kwa sababu ya kuingizwa mkenge na huyo DJ. Ninamsikitia sana huyo mzee wa billicanas kwa sababu siasa zake za chuki na visasi, this time zimekula kwake mazima. Watatandikwa watoto wa masikini kwa sababu tu ya poor influence ya DJ, halafu kina Lynda Chalker wakija wanaishia kumpongeza JPM kwa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.umeshapanic.
huyo unayemuita DJ amewa-outsmart amewachezesha singeli kuanzia rais wako,polisi, jeshi na serikali kwa ujumla na bado mtasakata singeli mpaka mkome kwakuwa siasa za akili hamziwezi.
huna huruma wowote wewe ni mihemko inakusumbua.Sijapanic, ninawaonea huruma watoto wa masikini ambao wakipigwa virungu huwa hawana uwezo wa kwenda Aga Khana au TMJ au nje ya nchi kule Apollo India. Ninawaonea huruma kina Salim Mwalim, wanaoacha familia zao kwa sababu ya kuingizwa mkenge na huyo DJ. Ninamsikitia sana huyo mzee wa billicanas kwa sababu siasa zake za chuki na visasi, this time zimekula kwake mazima. Watatandikwa watoto wa masikini kwa sababu tu ya poor influence ya DJ, halafu kina Lynda Chalker wakija wanaishia kumpongeza JPM kwa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi.
Mkuu freeland, CHADEMA needs to go back to the drawing board. Mashinji might be having qualities of a good leader but his boss misses some useful skills. Na muda wa kufanya mabadiliko ya juu kabisa bado upo, kuna miaka minne mpaka ufanyike uchaguzi wa 2020.Kwa hili nakubaliana na wewe..
Kaka tafuteni uongozi mpya kabla ya 2020. Huyu mkazi wa pale magogoni wa sasa hana muda wa kunywa na mtu chai pale Ikulu, vikao vyake na wageni huwa havidumu kwa zaidi ya dakika ishirini. Badilikeni, siasa za humu JF na kule FB zitawapatia umaarufu wa bei rahisi sana.huna huruma wowote wewe ni mihemko inakusumbua.
Magufuli akipongezwa shangilieni na akikosolewa msilie-lie.
maandamano ya uvccm ya tarehe 31 mmeishia wapi??