Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,340
- 3,364
Iramba huwa tupo pamoja lakini kwa hii great disappointment, sikubaliani nayo, nimesikitika na kufedheheshwa kwa hili la kushindwa kusimamia vyema kusudio lililo beba mstakabali wa taifa la kidemokrasia, nafikiri hata kuacha siasa au kuhama jukwaa ngoja nitafakari kwanza. But am greatly disappointedNimepita Kwenda Social Networks Nyingi Nimegundua Haya:
a)Wana CCM Wameumia Sana Baada ya CHADEMA Kuhairisha UKUTA
b)Baadhi ya Wana CHADEMA Analojia Wamekasirishwa Na Uhairishwaji wa UKUTA!
c)Ila Wana CHADEMA Digitali Wengi Tunaopenda Siasa za Hoja Tumeipenda Hii Kete!
d)JWTZ Na Polisi Wataendelea na Usafi na Operesheni ya VIKINDU!
Kuna wakati anapotea sana...My thinking katika JF Nyani Ngabu ni kuwa you are one of the philosophers, well educated! Ninaanza kuwa na mashaka na elimu yako!
Kusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga kubwa sana.watu mbona hamjibu swali jaman km nimwelewa vizuri mtoa hoja kauliza swari jepesi tu
Bado wapo wenye imani na CHADEMA?
minashanga kwani wengi wanaojita wapenda chadema hawapendi kujibu kwa hoja zaidi nikujificha kwenye matusi nakejeli na sio kujibu hoja zamsingKusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga kubwa sana.
Mtu unaweza ukamwuliza swali jepesi la moja kwa moja lakini jibu lake anakuwa analielewa yeye tu.
Na ndo maana viwango vya ufaulu kwenye shule zetu ni mdogo sana.
Nani katika dunia hii ameishinda Dola kwa matamko zaidi ya mapunduzi!Huyu amenunuliwa tayari kama Profesa lipumba, jiandae kukatwa mkia
... si kweli. alikuwa bepari hadi 1967 akageuka akawa mjamaa; alimuunga mkono maasi ya Ojukwu wa Nigeria baadaye akawa kigeugeu, aliua jumuiya ya EA na kuanzisha SADC na COMESA, n.k.Nyerere hakuwa kigeugeu ndio maana anaheshimika mpka leo
Huyu amenunuliwa tayari kama Profesa lipumba, jiandae kukatwa mkia
Imetoka hiyo, utampata nani october? Kama mlishindwa kuvishawishi vyama viundavyo ukawa, hiyo october mtawezaje kuwashawishi tena hao wachache waliojitolea kuwaunga mkono kwenye ukuta?Naiamini mbinu wanayoitumia chadema kupinga uvunjaji wa katiba na sheria za nchi. Wangeandamana kesho wangeambiwa wamewaingilia JWTZ ambao ni serikali pengine wangekamatwa wananchi wengi wasio na hatia . Tukutane 1st October.
Chadema Mimi ni CCM niliyeamuwa kuwaunga mkono kwenye maandamano.
HakikaHawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Kwa UKUTA sioni CDM.iliposhindwa!! Watu hatukulala usingizi mwezi mzima!! Tumefanya zoezi mpaka vitambi vimekwisha!! Jamani laiti mngejua Mbowe alivyotutesa acheni kabisa!! Kila mtu kashusha pumzi na likizo tumeruhusiwa hii leo.Kuna mwaka, kulitokea mtafaruku bungeni kati ya wana chadema na cuf. Basi chadema wakaombwa waombe radhi wakagoma.
Baada ya presha kua ndefu mwishowe mbowe akakubali kuomba msamaha na kutangua kauli.
Kuna neno alisema kabla hajatangua kua:- kurudisha majeshi nyuma sio kushindwa vita. Bali ni sehemu ya mkakati wa vita"
Kumbe kurudi nyuma sio kushindwa bali ni sehemu tu ya mkakati.[emoji2] [emoji2]
Chadema hawajakurupuka.Huo ni mchezo wa Draft,unachezwa na wakubwa wetu.Sie ni watazamaji wa mchezo kimoyomoyo tunasema "angecheza pale angekula" lkn mawazo yetu n tofauti na anaecheza kwani yeye ameiona KETE nyingine atakayokula bila kuliwa.
Binafs bado ninaimani na CHADEMA,naamini hawajakurupuka kwa maamuzi waliyofanya,bado wanazidi kuudhihirishia ulimwengu kwamba wao ni wapenda Amani na ndio maana wanatoa nafasi ya majadiliano.Japo ni tofauti na Serikali ambayo inajivunia Dola,na ilishajiandaa kuwashambulia waandamanaji .
We nawe hujajibuSijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.
Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!
Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
Ulitaka niulize halafu nijijibu mwenyewe?We nawe hujajibu
Strategically Chadema wamefaulu kuifanya serikali iyumbe, wamerusha ndege, many arrests, wametumia mapesa mengi, hii yote Ni hasara inayotafsirika kwenye uchumi ulipotea. Let say watafanya mambo Kama haya muda mwingi Na serikali itakuwa inafanya hivi walivyofanya? Mwishowe serikali itaona Ni upuuzi kupoteza pesa bure.Mbona nyie mlikuwa mnapiga kelele kwenye Instagram huko na siku moja kabla ya siku ya siku ujumbe umepenyeza.
Ona hawa wenzio....hivi kweli wamekaa hata mkao wa ku rumble hawa?