Ndio maana wanafwata mkumbo, waliambiwa Lowasa fisadi wakaruka ruka kwa furaha, wakaambiwa tena Lowasa sio FisadiWell said Ngosha,kusema ukweli watakaoendela kuwaamini CHADEMA basi wana hitilafu kwenye
Frontal lobe yao.Watu wazima Adrenaline zao zimepanda kwa mwezi mzima,leo mwishoni kabisa wanaambiwa their workdone is equal to zero.Halafu wanapewa siku 31 zingine tena,bado wamo tu,itabidi wapimwe akili kwa kweli.
Jibu swaliNyerere angeogopa na kukaa kimya baada ya kuwekwa mahabusu sijui kama leo ungekuwa unaanzisha thread namna hii katika nchi inayoitwa Tanzania.
Ni kweli hawapo kabisa, amebaki Mwanahabari Huru tena nimeona amemjibu Nyani Ngabu kinyonge kabisa.. Sijamuona Salary Slip wanachungulia tu kama wezi vileHao uliowataja leo wametokomea kusikojulikana. Wamemwachia Mwanahabari Huru anahenya.
Tuna tofautiana katika kufanya reply hapa JF mwingine anakupuuzia hakujibu ,mwingine anakuelewesha ,mwingine anakujibu anavyojiskia. Kama katoa pumba well and good hiyo ni kwa mujibu wa akili yako wewe kwake yeye ni credit.Kama mtu hauna jibu si useme tu kuwa huna.
Ya nini kuzunguka na kuanza kutoa pumba?
Kwani hao wanafanya mazoezi au wanafanyiwa mazoezi ya pasha kawaida ya polisi?!
Wewe utakuwa hujitambui kabisa huelewi hata kuandamana ni haki ya vyama vya siasa.Hapa kazi tu# maandamano wakayafanye majumbani kwao
Hawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Leo hii kwa mkono wangu nimepokea wanachama 421 wapya kujiunga na cdmHawa CHADEMA ndo basi tena.