Jaji wa kwanza kabisa aliuambia upande wa mashtaka wayaondoe na kuyaleta upya, wakakataa.Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki?
KULIPUA VITUO VYA MAFUTA
Sasa mbona Polisi au mashahidi wa Serikali wenyewe wanakiri kua hawakuwahi kuwakuta watuhumiwa na vilipuzi vyovyote yaani hata kiberiti?
Hapo bado itawatia hatiani kwa lipi?
KUPANGA MAGOGO BARABARANI
Hakuna shahidi upande wa jamuhuri tangu waanze kuhojiwa akaji na ushahidi wa gogo lililokatwa ,yaani hata msumeno au panga la kukatia magogo hayo. Wapeleke hata tawi la mti uliokatwa kwa ajili ya maandamano.
KUFANYA MAANDAMANO!
Mpaka sasa mashahidi waserikali hawajaonesha ni wapi maandamano yalipangiwa na uratibu wake ulikuwaje, maana kama ni mikoa ilitajwa ya Kwanza,Dar es salaam,Morogoro,Arusha na Mbeya ni lazima lingekuwepo na coordinators wa maandamano katika kila mkoa? Wenyeviti wa CHADEMA wa kanda na Mikoa Mbowe apange maandamano na walinzi wake wao wasijue?
Basi hawa Polisi walete hata video au picha za hawa magaidi wameketi mahali fulani wanapanga ugaidi?
Basi hata sms kwenye simu walizokamata zikionesha magaidi hawa wakipanga ugaidi wao au maandamano, si walihack mawasiliano yao mbona hakuna ujumbe wowote wenye njama za ugaidi? Yaani wao wana ushahidi wa miamala ya pesa tu ambazo pesa zenyewe haziwezi kusema zilikua za nini, tuseme ni za matumizi kawaida mtu kuwapa posho walinzi wake 😂😂
KUKUTWA NA SILAHA
Watuhumiwa wenyewe wanakana kukutwa Silaha,wanadai kua waliwekewa na ikizingatiwa mashahidi wanajichanganya kwenye ushahidi wao.
Hata kama silaha zingekuwa ni zao, hivi mlinzi hasa mtu ambaye alikuwa ni askari ni kitu cha ajabu? Tuseme silaha labda hazikusajiliwa kwa sababu ni za kihalifu, yaani Walinzi wa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani yaani VIP, KUB kwa miaka 15 atumie walinzi wenye silaha zisizosajiliwa?
KUHUSU KUMDHURU SABAYA
Yaani mtu ambaye mpaka sasa amefungwa miaka 30 kwa sababu ya Ujambazi hata kama ni wewe ni lazima ujihami naye, hatusemi kua Mbowe akijihami na Sabaya kwa vile alikuwa jambazi, laahasha, hakuna ushahidi wowote mpaka sasa toka kwa mashahidi wa Jamhuri kuonyesha kwamba kulikua na njama za kumdhuru Sabaya, kwanza kusikia neno Sabaya kwenye kesi hii ni nadra sana.
Lakini ingekuwa mimi ilikua lazima nijihami na jambazi hili aisee, kwani kuna tatizo kujihami na jambazi?
HITIMISHO
Mimi ningekuwa Jaji ningemuita DPP niwashauri wakajipange upya au waifute kesi hii kuondoa aibu ya taifa waache kupoteza rasilimali za taifa maana ni upotezaji wa muda tu na pesa zinaliwa bure, ni wazi mbele za Mungu siyo kesi ya kigaidi hii.Hata kesi ya Kibaka au Jambazi haiwezi kuwa hivi.
Fundi Madirisha nahitimisha kwa kusema, tuzionee huruma rasilimali za taifa. Hizi pesa za kuendeshea kesi zinazoliwa bure kila siku kuwapanga mashahidi na kumlipa Jaji na watumishi wengine zingeenda kujenga shule.
Hofu ya kushindwa uchaguzi 2025Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki?

Hajaingizwa Chaka ni maaumizi yake mwenyewe akiamini atatawala vzr akiwafunga wenzieMama kaingizwa chaka na ccm maslahi
Walipowakamata wa kina Adamoo sehemu ya ilipo "grocery" huko Rau - Moshi, kuna madai kuwa walikutwa pia na kete kadhaa ya kile kinachodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya.Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki?
KULIPUA VITUO VYA MAFUTA
Sasa mbona Polisi au mashahidi wa Serikali wenyewe wanakiri kua hawakuwahi kuwakuta watuhumiwa na vilipuzi vyovyote yaani hata kiberiti?
Hapo bado itawatia hatiani kwa lipi?
KUPANGA MAGOGO BARABARANI
Hakuna shahidi upande wa jamuhuri tangu waanze kuhojiwa akaji na ushahidi wa gogo lililokatwa ,yaani hata msumeno au panga la kukatia magogo hayo. Wapeleke hata tawi la mti uliokatwa kwa ajili ya maandamano.
KUFANYA MAANDAMANO!
Mpaka sasa mashahidi waserikali hawajaonesha ni wapi maandamano yalipangiwa na uratibu wake ulikuwaje, maana kama ni mikoa ilitajwa ya Kwanza,Dar es salaam,Morogoro,Arusha na Mbeya ni lazima lingekuwepo na coordinators wa maandamano katika kila mkoa? Wenyeviti wa CHADEMA wa kanda na Mikoa Mbowe apange maandamano na walinzi wake wao wasijue?
Basi hawa Polisi walete hata video au picha za hawa magaidi wameketi mahali fulani wanapanga ugaidi?
Basi hata sms kwenye simu walizokamata zikionesha magaidi hawa wakipanga ugaidi wao au maandamano, si walihack mawasiliano yao mbona hakuna ujumbe wowote wenye njama za ugaidi? Yaani wao wana ushahidi wa miamala ya pesa tu ambazo pesa zenyewe haziwezi kusema zilikua za nini, tuseme ni za matumizi kawaida mtu kuwapa posho walinzi wake
KUKUTWA NA SILAHA
Watuhumiwa wenyewe wanakana kukutwa Silaha,wanadai kua waliwekewa na ikizingatiwa mashahidi wanajichanganya kwenye ushahidi wao.
Hata kama silaha zingekuwa ni zao, hivi mlinzi hasa mtu ambaye alikuwa ni askari ni kitu cha ajabu? Tuseme silaha labda hazikusajiliwa kwa sababu ni za kihalifu, yaani Walinzi wa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani yaani VIP, KUB kwa miaka 15 atumie walinzi wenye silaha zisizosajiliwa?
KUHUSU KUMDHURU SABAYA
Yaani mtu ambaye mpaka sasa amefungwa miaka 30 kwa sababu ya Ujambazi hata kama ni wewe ni lazima ujihami naye, hatusemi kua Mbowe akijihami na Sabaya kwa vile alikuwa jambazi, laahasha, hakuna ushahidi wowote mpaka sasa toka kwa mashahidi wa Jamhuri kuonyesha kwamba kulikua na njama za kumdhuru Sabaya, kwanza kusikia neno Sabaya kwenye kesi hii ni nadra sana.
Lakini ingekuwa mimi ilikua lazima nijihami na jambazi hili aisee, kwani kuna tatizo kujihami na jambazi?
HITIMISHO
Mimi ningekuwa Jaji ningemuita DPP niwashauri wakajipange upya au waifute kesi hii kuondoa aibu ya taifa waache kupoteza rasilimali za taifa maana ni upotezaji wa muda tu na pesa zinaliwa bure, ni wazi mbele za Mungu siyo kesi ya kigaidi hii.Hata kesi ya Kibaka au Jambazi haiwezi kuwa hivi.
Fundi Madirisha nahitimisha kwa kusema, tuzionee huruma rasilimali za taifa. Hizi pesa za kuendeshea kesi zinazoliwa bure kila siku kuwapanga mashahidi na kumlipa Jaji na watumishi wengine zingeenda kujenga shule.
Huyu Mama mwanzoni nilidhani atakuja kuwa tofauti na mtangulizi wake! Ila baada ya kuona mwanzoni kabisa mwa utawala wake anawapa nafasi nyeti watu aina ya Mwigulu! Nikajua naye ni wale wale tu.Hangaya atawaambia nini BBC
Samia anataka kuja kuitumia kujikosha kwa wachaggaMimi ni CCM lakini hakuna kesi hapo. Staki dhambi mimi hahahaaaas😄😄
Ushahidi wa mashaka sana.Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki?
KULIPUA VITUO VYA MAFUTA
Sasa mbona Polisi au mashahidi wa Serikali wenyewe wanakiri kua hawakuwahi kuwakuta watuhumiwa na vilipuzi vyovyote yaani hata kiberiti?
Hapo bado itawatia hatiani kwa lipi?
KUPANGA MAGOGO BARABARANI
Hakuna shahidi upande wa jamuhuri tangu waanze kuhojiwa akaji na ushahidi wa gogo lililokatwa ,yaani hata msumeno au panga la kukatia magogo hayo. Wapeleke hata tawi la mti uliokatwa kwa ajili ya maandamano.
KUFANYA MAANDAMANO!
Mpaka sasa mashahidi waserikali hawajaonesha ni wapi maandamano yalipangiwa na uratibu wake ulikuwaje, maana kama ni mikoa ilitajwa ya Kwanza,Dar es salaam,Morogoro,Arusha na Mbeya ni lazima lingekuwepo na coordinators wa maandamano katika kila mkoa? Wenyeviti wa CHADEMA wa kanda na Mikoa Mbowe apange maandamano na walinzi wake wao wasijue?
Basi hawa Polisi walete hata video au picha za hawa magaidi wameketi mahali fulani wanapanga ugaidi?
Basi hata sms kwenye simu walizokamata zikionesha magaidi hawa wakipanga ugaidi wao au maandamano, si walihack mawasiliano yao mbona hakuna ujumbe wowote wenye njama za ugaidi? Yaani wao wana ushahidi wa miamala ya pesa tu ambazo pesa zenyewe haziwezi kusema zilikua za nini, tuseme ni za matumizi kawaida mtu kuwapa posho walinzi wake 😂😂
KUKUTWA NA SILAHA
Watuhumiwa wenyewe wanakana kukutwa Silaha,wanadai kua waliwekewa na ikizingatiwa mashahidi wanajichanganya kwenye ushahidi wao.
Hata kama silaha zingekuwa ni zao, hivi mlinzi hasa mtu ambaye alikuwa ni askari ni kitu cha ajabu? Tuseme silaha labda hazikusajiliwa kwa sababu ni za kihalifu, yaani Walinzi wa Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani yaani VIP, KUB kwa miaka 15 atumie walinzi wenye silaha zisizosajiliwa?
KUHUSU KUMDHURU SABAYA
Yaani mtu ambaye mpaka sasa amefungwa miaka 30 kwa sababu ya Ujambazi hata kama ni wewe ni lazima ujihami naye, hatusemi kua Mbowe akijihami na Sabaya kwa vile alikuwa jambazi, laahasha, hakuna ushahidi wowote mpaka sasa toka kwa mashahidi wa Jamhuri kuonyesha kwamba kulikua na njama za kumdhuru Sabaya, kwanza kusikia neno Sabaya kwenye kesi hii ni nadra sana.
Lakini ingekuwa mimi ilikua lazima nijihami na jambazi hili aisee, kwani kuna tatizo kujihami na jambazi?
HITIMISHO
Mimi ningekuwa Jaji ningemuita DPP niwashauri wakajipange upya au waifute kesi hii kuondoa aibu ya taifa waache kupoteza rasilimali za taifa maana ni upotezaji wa muda tu na pesa zinaliwa bure, ni wazi mbele za Mungu siyo kesi ya kigaidi hii.Hata kesi ya Kibaka au Jambazi haiwezi kuwa hivi.
Fundi Madirisha nahitimisha kwa kusema, tuzionee huruma rasilimali za taifa. Hizi pesa za kuendeshea kesi zinazoliwa bure kila siku kuwapanga mashahidi na kumlipa Jaji na watumishi wengine zingeenda kujenga shule.
Ndio maana anaanza kutembelea tembele huko kama preemptying strategy. Haitamsaidia.Samia anataka kuja kuitumia kujikosha kwa wachagga
Chama chako hovyo sana.Ni pale kesi ya mchongo inaposhindwa kupata watu wa kuitetea vizuri,, chama changu cha bwana (CCM)mnanitia aibu mkiongozwa na muheshimiwa
We acha tu alishalikorogaHangaya atawaambia nini BBC
Tanzania nzima tutaitwa magaidi sasaUgaidi wa elfu 80...Inasikitisha Sana.
Hata Sabaya alikuwa na Jeuri zaidi yako.ukijiingiza kwenye vitendo vya kihalifu ujue siku zako zinahisabika.
uhalifu haulipi
SahihiUkweli haukuwahi kushindwa na uongo tangu dunia iumbwe!
Uongo siku zote hutangulia lakini ukweli huja baadae na unatamalaki.
Kutunga uongo hufanywa na mawakala wa shetani kwa msaada wa shetani mwenyewe.
Someni maandiko kujua adhabu na laana kwa watu hawa (ktk Biblia na Quran)