Bado siku 7, shekhe yahya vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado siku 7, shekhe yahya vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by boma2000, Oct 24, 2010.

 1. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2010 mtabiri 'maarufu' wa Bongo shekhe yahya hussein alisema si mara moja kuwa uchaguzi mwaka huu hautakuwepo na akaendelea kuweka mkazo kuwa hakuna uchaguzi na wanaobisha wataona kama utakuwepo, haya bado siku saba tu tuchague wabunge na raisi tunaemtaka ili aunde serikali, wanaoelekea zaidi kuupata ni JK na Dr Slaa, wengine wanaonekana wasindikizaji. sasa sijui shekhe Yahya ataficha wapi uso wake machoni mwa Watanzania
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Amepona ?
   
 3. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,735
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  labda alimaanisha kwake yeye hakuna uchaguzi mwaka huu. Ina maana hataweza kuchagua
   
 4. m

  mbea Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa kamili msikilize leo saa 3:30 usiku chanel ten,amehaidi kuweka mambo hadharani.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,780
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Labda atakufa yeye.
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Kwanzalisema atakaeshindana na jeykey atakufa,huyu mzee ni bogas achana nae
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  mambo gani hayo anataka kuweka hadharani?mwambie akamwekee jeykey na familia yake sio watanzani tunachohitaji kwa sasa ni ukombozi sio uchawi wake
   
 8. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  umeonaeeeeeeh
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,725
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  I never watch this program. never ever!!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama kuna umuhimu wa kumjadili mchawi na kauli zake kama wewe huna imani hizo..

  We mpotezee tu!
   
 11. M

  Mangi Meli Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumwombee huyu babu apumzike kwa amani, yoko fainali kama kombe la dunia, anatafuta pa kufia
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,369
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kinachoshanagaza ni jinsi hakuna sheria za Kijamii zinazoweza kumuweka Mzee kama huyu...sehemu yake inayostahili!

  Amekuwa msubufu sana ...na wakati mwingine usumbufu wenyewe..wa kuhatarisha !!
   
 13. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mkuu tupe taarifa kasemaje kama umeangalia hicho kipindi kasemaje babu wa mizimu???
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Okoeni mda jamani kuna mambo ya msingi ya kujadili
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hivi hajaenda kwa amani bado?
  si alisema kuwa sipokufa mtu atakufa yeye?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,512
  Likes Received: 11,392
  Trophy Points: 280
  ecalpto
   
 17. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kalazwa jamani msamehenii mgonjwa...
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,308
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  naona katulia kama vile hayupo
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  He.... bado update wakuu
   
 20. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Leo ni jumatano bado siku 4 tu, tunasubiri mtu wa kufa ama mgombea ama shekhe yahya
   
Loading...