Bado sijapata hata wa kuni-PM

Bado sijapata hata wa kuni-PM

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Aah kudadeki!
Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli nimekuwa msindikizaji hapa.
 
Aiseee. Tatizo ulifikiri jf ni suluhu la Msongo wa mawazo hasa unao kusibu badala ya kukimbilia kwa Daktari.
 
hivi hiyo avatar yako ina nini vile?

popo si popo... au popobawa?

it may be a reason..!
 
Kama unataka PM we jidai dem halafu utaona zitakavyojaa!
 
Mi sizitaki we unazitaka kweli tunatofautianaa!!!!
Uwe unaandika mapoint ya ukweli halaf na kiingreza kingi mbona utawakamataa tu!!!!!
 
Rudi Facebook

Aah kudadeki!
Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli nimekuwa msindikizaji hapa.
 
Aah kudadeki!
Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli nimekuwa msindikizaji hapa.
Ukitaka PM anza kwanza kwa kushukuru kidogo ulichopewa mhh Likes si haba mwenzetu!
 
hahahahaha
umenifurahisha sana!
naona umenichoka kweli

aisee naishika bana kuiangalia broda..!

sasa fanya kitu, anza kwanza na kuondoa avatar, halafu twendelee...
 
okey niambie unapenda niweke avatar gani ambayo itakushawishi?
aisee naishika bana kuiangalia broda..!

sasa fanya kitu, anza kwanza na kuondoa avatar, halafu twendelee...
 
Aah kudadeki!
Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli nimekuwa msindikizaji hapa.

Tatizo hujataja jinsia
 
Back
Top Bottom