evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,195
Wakuu,
Tuliona picha iliyopita wakati kocha wa simba anazindua tawi la simba kulikuwa na picha ya ajabu ya simba aliyekuwa amechorwa, lakini hii hapa pia kwenye hili tawi la mkoa wa kigoma bado Kuna tatizo la uandishi.
Ukisoma hapo hiyo anuani haiko sawa ilitakiwa iwe www.simbaspotrs.co.tz lakini kuna alama ya nukta imeachwa kwenye hiyo anuani.
USHAURI: Ukiwa kwenye eneo husika na ukiona kama Kuna kosa, nenda waambie hapo imekosewa, lakini naamini hiyo hapo ilikuwa imefunikwa ili izundiliwe.
Kuna siku niliona kibao cha shule kinachorwa kwa fundi ktk Yale maandishi ilikuwa inasomeka maneno mengi ila moja lilikuwa sio sahihi liliandikwa"discpline" badala ya "discipline" nilimfuata yule mwandikaji nikamwambia hapo kuna makosa ,akawasiliana na waliompa kazi. Wakarekebisha.
So ukiona tatizo kama hilo kabla yakuwekwa publically wafate wambie.