Bado nina mashaka kuhusu kitabu hiki cha Biblia

Bado nina mashaka kuhusu kitabu hiki cha Biblia

Mambo magumu sana, wanasema torati ilikuja kurekebishwa na agano jipya, lakini hapo hapo wakiendelea kutumia agano la kale katika baadhi ya vifungu,
 
Kuna kisa kwenye bibilia huwa kinanichakesha sana kila nikikifikiria, tena hiki kipindi cha kasheshe la Wayahudi na Hamas, nakikumbuka kila siku. Hiki hapa, jisomee:

Maandiko yote ya kidini Biblia na Quran ni fictions stories.

Hekaya za kusadikika.
Jaribu kuandika Qur'an Yako mkuu halafu tuone hizo fictions unazosema.

Qur'an Kuna mpaka kipimo Cha uzito wa maneno .....Kafuatilie Elimu ya Abjadi na Siri zake!

Wacha kuropokwa usiyoyajua kufurahisha Genge tu!

No One Can Manipulate Qur'an ni kitabu nje ya Upeo wa Binaadam na Viumbe wote.
 
Kwenye qoruan Mimi sko sijawahi soma Wala kuwa mwislam
 
Jaribu kuandika Qur'an Yako mkuu halafu tuone hizo fictions unazosema.

Qur'an Kuna mpaka kipimo Cha uzito wa maneno .....Kafuatilie Elimu ya Abjadi na Siri zake!

Wacha kuropokwa usiyoyajua kufurahisha Genge tu!

No One Can Manipulate Qur'an ni kitabu nje ya Upeo wa Binaadam na Viumbe wote.
Nakwambia hivi ,vitabu vyote vya kidini Quran na Biblia ni FICTIONS.
 
U
Usome mistari yote,siyo nusunusu,ila pia jaribu KUTOKA kwenye mwili kwa msaada wa roho MTAKATIFU utapata majibu ya mashaka Yako yote, biblia Iko straight,ila wanaosoma na kufafanua ndio wanakuja ku-divert maana halisi, ndio hapo imani na makanisa tofauti vilipoanza ,,,,,Unajua wewe ni mfalme!?
1. Mkristo kutoka nje ya mwili anaruhusika?
 
Soma tena
emoji116.png

Mithali 23:29-32 (KJV) Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?
Nimeshuhudia Pombe ikiwapa watu ulemavu wa kudumu na makovu ya kudumu, na hizi ni story 3 tofauti zinazohusu mvinyo na matokeo yake ni story za kweli

Mmoja alikua ni dereva Bajaj na bodaboda, huyu jamaa ana bahati yaan alipata Bajaj anapiga mishe mchana kwenye kijiwe alafu usiku halali anapiga na bodaboda, sasa siku hio kapiga mvinyo km kawaida usiku kilichotokea ni makovu na bodaboda ikachukuliwa na wahuni

Namba 2 pia ni same story, naye pia furaha ilizidi sana akafurahi kupitiliza akabugia mvinyo akapanda bodaboda usiku arudi kwake, huyu bodaboda hii ni ya kazini kila mfanyakazi amepewa bodaboda yake ili imuwaishe kazini, anapiga kazi kwenye supermarket moja, wakati anarudi mitungi imekolea kateleza kaangua kilichofuata ni makovu na vidonda na maumivu, na wahuni wanaondoka na bodaboda

Namba 3 ni same story, usipokua huyu yeye alikua na bodaboda ya mkataba kwa hio akawa anapiga mishe, siku hio anasherehekea Yanga kufungwa na Ihefu akapitiliza furaha akabugia mvinyo mwingi kilichofuata ni majuto hakuumia Ila hadi hivi sasa tunavyoongea bodaboda hana maana wahuni walimpora kiulaini sana, hadi sasa haelewani na boss wake amemwambia anamdai Million 3 za bodaboda yake anatakiwa kulipa

"Huku Pombe ya Bei rahisi unalala......."
 
1. Mkristo kutoka nje ya mwili anaruhusika?
Utokaji nje ya mwili wa mkristo ni tofauti na ule wa akina Rhakim, mfano nabii Elisha alivomponya yule Naamani ukoma, Kisha akakataa zawadi,ila mtumishi akazifuata akaficha,,alivorudi Elisha anamwambia nilikuwa natafakali,,,,,,(meditate)nikakuona umeenda kuchukua zawadi za Naamani,ukoma wa Naamani na uwe juu Yako, cheki version ya kingeleza imelezwa vizuri
 
Hii story mkuu ipo kitabu cha Wafalme sura ya gapi vile
 
Nimeshuhudia vyakula vikiwapa watu ulemavu wa kudumu kama KISUKARI, PRESURE, SHINIKIZO LA MOYO, KIRUBA TUMBO, FIGO n.k

Mavyakula kama Bugger, pizza, mavyakula ya sukari sana, UNYWAJIBWA MASODA, MAJUICE YA SUKARI yamewapa watu matatizo makubwa na wengi wamepoteza maisha, tunaona saiv kijana miaka 30 ana tumbo kama kifutu, akiumwa utasikia ana presha, kisukari, sio pombe bali mavyakula.

We umeona pombe tu,
 
Back
Top Bottom