Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
mkuu.Faiza ana GOZI lake na analipenda sana..Kama hicho sio kikwazo kwako basi endelea kujaribu bahati yako
mambo gani hayo ambayo we hauna?
Hivi huyo bibi atakuwa ana K kweli? ha ha ha
Sometime I hate ma heart by 2 PAC..Hahahaha faiza unataftwa hukuHapana tumetoka naye mbali sana...tumefanya mengi mazuri sana ila tulitofautiana kidogo kwajili ya mambo ya siasa na wenye hila nao wakajitokeza kutuharibia
Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.
tepetepe na mikunjo mwanzo mwisho.
Salamu zikufikie Faiza Wangu,
-Haijalishi wana dunia watatugombanisha vipi,
-Haijalishi wataendelea kutusema kwa kiasi gani,
-Haijalishi kutofautiana kwetu katika itikadi ya vyama vya siasa.
Hayo yote ni bid'aa na dhahma za duniani ILA bado nakupenda na kukumbuka mengi kutoka kwako.
Sheeee drive me crazy...Cc.
Yaani usiku huu mzima nimemuota yeye,asubuhi nimeamka namuwaza yeye Bi Faiza mpaka nimejimwagia chai kama zuzu huku nikiduwaa tu macho ukutani,
teh! mazito hayaelezeki hapa
Yes yes, ilikuwa mwezi huu.To be precise, alisema miaka 37, mwezi huu huu nafikiri alijibu swali la mtu na kutoa maelezo kidogo.