Tatizo moyo wangu...moyo...huu moyo unampenda ati,
Mmmh kama unaweza kufunguka kwa bi faiza we ni mwanaume wa shoka teh
Hicho kibibi kichawi shauri yako..utaumia
Ulivosema bado unampenda na kukumbuka mengi kutoka kwake nkajua labda ni mchumba ako kumbe mapenzi ya ndotoni, basi endelea kulala tu faiza alivo kauzu sijui umewaza nini lolYaani usiku huu mzima nimemuota yeye,asubuhi nimeamka namuwaza yeye Bi Faiza mpaka nimejimwagia chai kama zuzu huku nikiduwaa tu macho ukutani,
Teh huo mpango nauteketeza na kuuharibu katika jina la alie juunamimi huwa nina mpango wa kufunguka kwako, japo ni dada angu. Teh
Ulivosema bado unampenda na kukumbuka mengi kutoka kwake nkajua labda ni mchumba ako kumbe mapenzi ya ndotoni, basi endelea kulala tu faiza alivo kauzu sijui umewaza nini lol
Tatizo moyo wangu...moyo...huu moyo unampenda ati,
Teh huo mpango nauteketeza na kuuharibu katika jina la alie juu