G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Miaka inaenda sana, tulitembelewa na wageni wengi na wakatoa ahadi nyingi za kutoa misaada hapa kwetu, ila naona miaka mitano inakata sasa.
Je, hiyo miradi ni mingapi ilishaanza, hebu nianze na ahadi ya mfalme wa Morroco ya kutujengea uwanja wa mpira kule Dodoma na kutujengea Msikiti, je hiyo shughuli ilishaanza?
Waziri mkuu wa Ethiopia,India, list ni ndefu, hao ni baadhi ya.
Je, kwanini kilichoahidiwa hadi leo hakijaanza, walituahidi hewa?
Sent using Jamii Forums mobile app