Bado mwaka mmoja uchaguzi, tujikumbushe ahadi za viongozi mbalimbali walioitembelea Tanzania

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,777
2,000
Miaka inaenda sana, tulitembelewa na wageni wengi na wakatoa ahadi nyingi za kutoa misaada hapa kwetu, ila naona miaka mitano inakata sasa.

Je, hiyo miradi ni mingapi ilishaanza, hebu nianze na ahadi ya mfalme wa Morroco ya kutujengea uwanja wa mpira kule Dodoma na kutujengea Msikiti, je hiyo shughuli ilishaanza?

Waziri mkuu wa Ethiopia,India, list ni ndefu, hao ni baadhi ya.

Je, kwanini kilichoahidiwa hadi leo hakijaanza, walituahidi hewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kongobelo

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
380
500
Miaka inaenda sana, tulitembelewa na wageni wengi na wakatoa ahadi nyingi za kutoa misaada hapa kwetu, ila naona miaka mitano inakata sasa, je hiyo miradi ni mingapi ilisha anza, hebu nianze na ahadi ya mfalme wa Morroco ya kutujengea uwanja wa mpira kuke Dodoma na kutujengea msikiti, je hiyo shughuli ilisha anza?Waziri mkuu wa Ethiopia...wa India, list ni ndefu, hao ni baadhi ya. Je, kwa nini kilicho ahidiwa hadi leo hakijaanza? walituahidi hewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze ahadi ya mtukufu ya kila kijiji kitapata milioni 50.
Huku kwetu bado hazijafika labdo kwa wwngine.
Ngoja tuwasikie na wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,777
2,000
hizi ni baadhi tu ya ahadi, nadhani tukumbushane tu kile ambcho hakijaanza, he by niambie uwanja wa dodoma ulishaanza kujengwa mkuu? ukiwa na ushahidi wa picha itakuwa poa zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom