Kwani hiyo ndio kazi ya paa la gari?
Kwa hiyo ulitaka ahairishe mkutano kisa jikwaa fupi kama afanyavyo Lowasa? Au wewe ushauri wako ni upi kama ungekuwepo?
Ushauri wetu kwake aache kujipotezea muda rais wetu ni Lowassa.Kwa hiyo ulitaka ahairishe mkutano kisa jikwaa fupi kama afanyavyo Lowasa? Au wewe ushauri wako ni upi kama ungekuwepo?
Lowassa anaweza kusimama hivyo kweli?
Kwahiyo hakuandaliwa jukwaa au watu walipiga dili wakasepa? Swali langu halijajibiwa hiyo ndio kazi ya paa la gari?
Jukwaa lilikuwepo ila ni fupi hawezi kuonekana ndio ikabidi apande juu ya paa ili mkutano uendelee badala ya kuahirisha kama mfanyavyo.
Wakulaumiwa ni nani? Waliotengeneza jukwaa fupi aidha walibania pesa au walitengeneza kitu sahihi kwakuwa lingetumika kuhutubia watu na sio twiga lakini je hakuna team ya pre inspection kuhakikisha kuwa jukwaa lita maa mlengwa?
Swali langu hujalijibu lakini je hiyo ndio kazi ya paa la gari kama jukwaa ni fupi?