Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
Kwa hiyo ulitaka ahairishe mkutano kisa jikwaa fupi kama afanyavyo Lowasa? Au wewe ushauri wako ni upi kama ungekuwepo?
katumia mbinu mbadala jukwaa fupi akaona asiache mkutano
Kwa hiyo ulitaka ahairishe mkutano kisa jikwaa fupi kama afanyavyo Lowasa? Au wewe ushauri wako ni upi kama ungekuwepo?
katumia mbinu mbadala jukwaa fupi akaona asiache mkutano
Jukwaa lilikuwepo ila ni fupi hawezi kuonekana ndio ikabidi apande juu ya paa ili mkutano uendelee badala ya kuahirisha kama mfanyavyo.
Acha hizo wewe urais sio uchizi wewe unaona lowassa ni mtu wa kuonesha uchizi kama huo kweli
Kujinyea sio uchizi?
Naomba ushahidi