Kwani we hupendi huo mchezo?Hapa unasikilizia Mdada Mwana JF ajitokeze ambae hapendi hela umtafune kimasihara.
Upi Mo?kwani we hupendi huo mchezo ?
Huo wa kuliwa kimasiharaUpi Mo?
Hapana Mungu aniepushie.huo wa kuliwa kimasihara
Demu akikupenda na akijua hali yako hakuombi hela ovyo! Only wrong patners ndio huomba omba hela kama kuna kukomoana hiviAisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu (mwaka na zaidi) hawakuwahi kabisa kuniomba hela na hata pale walipoomba ni kwamba unakuta kweli ana ishu siriaz na anaomba kiasi ambacho ni rizonabo kabisa, na hata ukimwambia huna anakuelewa wala hachukii.
Na sio kwamba eti wadada hao ni mambo safi la hasha, ni wadada wa kawaida tu tena kati yao wawili nakumbuka walikua ni singo mazaz. Mara nyingi ilikua ni mpaka mimi mwenyewe nione aibu ndio niwatoe ila nikikausha hawaombi. Kwakweli Mungu awabariki sana wadada wa namna hii, nataka ku aplodi picha zao naona zinagoma.
Vipi na wewe ulishakutana na hawa viumbe adimu?
Aiseee hii ndio maana halisi ya mafiga matatu.Tunawaombaga hela wanaume ambao hatuwapendi. Huu ndo ukweli, labda niwe na shida iloshindikana kote kote.
Ukiona unaombwa kila siku jua kuna shida sehemu.
Umejua kucheza na akili ya OP, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa unasikilizia Mdada Mwana JF ajitokeze ambae hapendi hela umtafune kimasihara.
Nakazia hapa.Tunawaombaga hela wanaume ambao hatuwapendi. Huu ndo ukweli, labda niwe na shida iloshindikana kote kote.
Ukiona unaombwa kila siku jua kuna shida sehemu.