Bado kuna malaika dunia hii

Bado kuna malaika dunia hii

Mwisho wa siku kila mtu ana uhuru wa kuamua afanye nini na maisha yake. Haina haja ya kumkashfu wakati maisha ni yake yeye binafsi, k yake hashei na mtu mwache aitumie atakavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuja mkashifu tumemshangaa huo ujasiri wa kutaka kudu na muathurika Huku akijua kaupata wapi?...Japokua ninmwili wake hata akipata ukimwi sisi haitusumbui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wenye mapenzi, lakini hata huyo mgonjwa anastahili kupendwa. Miaka yenyewe ya kuishi duniani iko mingapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe were ni muathirika wa HIV Nini?...sio kwa kusupport Mapenzi yakujitoa muhanga.. let me get HIV in the name of love...love is blind. Nakupenda jinsi ulivyo Nipo tayari kunywa ARV for the rest of my life. No that's Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Koh ilibaki kidogo tu Uruke Sarakasi kwenye Transformer
 
Back
Top Bottom