Siongelei kuwa na imani moja,hili haliwezekani. Naongelea usahihi wa imani na kinyume chako.Hata hawa wenye imani unazoita za kijinga nao kama wakiamua kubaki chini ya mlima watakuwa na mawazo sawia na haya yako.. Lakini hukumu ya kijiji uhalisia wake ukione toka juu ya mlima na si chini..
Kamwe na daima dawamu dunia haiwezi kuwa na imani moja timilifu
Ungekuwa unaelewa ninacho kiandika maneno haya usingeyaandika,nilisema hivi maadamu kila jambo lina chanzo,kuhakiki imani ni jambo sahali sana.
Hata ukiwa juu ya mlima,tutakuuliza unaangalia ili uone nini,mifano mingine ni mfu na huu n mmoja wapo. Nilikuuliza marejeo yako ya kutoka nje ya dunia ni yapi ? Msiwe mna jenga hoja huku hamna uwezo wa kuzitete hoja hizo.
Wewe waulize wanao abudu Ng'ombe,ilikuwaje mpaka wakawa wanaabudu,sasa tumepewa akili tuzitumie kwa usahihi na si hisia kuzitumia mahala pa akili na moyo.