Bado kuna baadhi yetu tunaishi kivuli cha marehemu

Hili jibu lake ni rahisi sana,ukirejea katika maana ya Imani. Tamko Imani ni tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya kusadikisha jambo lililo fichikana kwa moyo na kulitamka kwa ulimi na kulitendea kazi jambo hilo. Ndiyo maana tunasema Imani haiwi bila matendo.

Sasa,swali lako kwanini tunaamini kitu tusichokiona kwa sababu kitu hicho kina ishara yaani kinawasilishwa na kinacho onekana au mfano wake. Mathalani leo hii hakuna anaepinga ya kuwa njaa inauma,ila haioni lakini tunahisi,hii huitwa ishara kwayo huielezea au huonyesha uwepo wa kitu hicho ambacho ni njaa.

Lakini,akili pekee haiwezi kuelezea mambo yaliyofichikana pasi na msaada wa ufunuo. Hapa ndipo kwenye mizani ya kupima ukweli na uongo wa imani fulani.

Nakomea hapa.
Asante sana
 
Naomba maoni yako hapa Jurjani kwenye hii video
CC: Bujibuji

Mm namkumbuka JPM kwa ubaya co kwa vizuri. Huyu bwana alinifanya niache kazi serikaloni. Kama kuna moto uchomao huyu akachomwe hadi aungue na majivu yake pia.
Kiukweli nimefurahi juu ya kifo chake
Haters lazima muwepo, unfortunately mpo wachache.
 
Naomba maoni yako hapa Jurjani kwenye hii video
CC: Bujibuji

View attachment 1753254
Maoni yangu juu ya hili tuki ni katika aina ya USHIRIKINA kama ilivyo watu wanavyoenda kuomba kwenye makaburi,miti masanamu. Dogo anadai watu humuabudu yeye na yeye huomba kwa Mola,kiistilahi ya kiimani hiki kitendo kinaitwa "Wasila" yaani kuomba kupitia kiumbe fulani. Jambo hili linafaa ila si kwa mtindo huu. Hili wanalo lifanya limemili katika ujinga ba ni aina ya ushirikina.

Nukta nyingine inayokutatiza kwa namna niliyo iona hapo ni kuwa kama wanakosea mbona wanafanikiwa ? Watu kuomba mizimu au mfano wake katika ushirikina na kufanikiwa haisemwi wanapatia bali wanapewa mtihani na kupewa muhula huenda wakarud katika njia ya sawa. Kuna kaida ya kiusuli inasema hivi "Nia njema haihalalishi njia". Hata kama nia yako njema haibadilishi jambo ovu kuwa jema,mathalani wapo wanao dai ya kuwa wanaiba kwenda kusaidia jamaa zao au wanajiuza kwa ajili ya kusaidia jamaa zao,hii haifanyi wizi wako kuwa jambo zuri au kuzini kwako kukawa ni jambo zuri la hasha.

Kuna visa vingi vya kuchekesha juu ya kadhia za hizi imani potofu. Waarabu wa kale walikuwa wana miungu yao 360 na kila mungu wao alikuwa na jukumu lake maalumu,yupo mungu wa ndoa tu,wa kuomba mvua na mfano wake,lakini walipokuwa katika mitihani mizito wanarudi kwa Mola muumba na mlezi wa wema na waovu.

Mola wetu anapenda aombwe na mja wake moja kwa moja pasi na mtu kati na hili ndilo la sawa zaidi.

Hayo ni maoni yangu kwa uchache.

Shukrani.
 
Haters lazima muwepo, unfortunately mpo wachache.
Tupo wachache? Nenda mikoa ya kusini unafanya survey kusikia wanavyomzungumzia mpumbavu yule? Ongea na watumishi uwasikilize? Kisha malizia na wale wapuuzi pale dodoma uwasikilize wanavyolazimisha tumuenzi. Angekuwa na legacy kama nyerere tungelazimishwa hivi?
Wachache kwako wanaanzia wangap? Wengi je?
 
Nukta nyingine inayokutatiza kwa namna niliyo iona hapo ni kuwa kama wanakosea mbona wanafanikiwa ?
Hapo juu umepotoka kidogo kwa kunihuisha na mtazamo usio wangu...labda pengine ni mafikara yako tuu hivyo sio kesi..!
 
Shangwe iko kila Kona ya taifa hili..nathubutu kusema asilimia 80 ya watu wamefurahi
 
Nukta nyingine inayokutatiza kwa namna niliyo iona hapo ni kuwa kama wanakosea mbona wanafanikiwa ?
Hapo juu umepotoka kidogo kwa kunihuisha na mtazamo usio wangu...labda pengine ni mafikara yako tuu hivyo sio kesi..!
Okay. Nimekupata.

Tuko pamoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom