Za mchepuko zina bajeti yake[emoji31] View attachment 815706
Noma sana!Enzi za Jk week end kama hii. Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. Kaka upo wapi? njoo club, beib yangu imekuja na wenzie wawili wa chuo. Watoto wasafi kama sarafu inayotoka mlango wa bank. Nina kama laki nne na 80 ya kutumia tu usiku wa leo. Ngoja nikutumie usafiri kaka. Waliokuwa wakitoa ofa hizo enzi za Jk. Leo wakikupigia simu muda kama huu utaskia. KAKA USILALE BILA KUSALI. [emoji23][emoji23]