Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,384
- 2,081
Ukiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Si wana white house Dodoma hao
Bado kuanua tu maana hema ni Tanga hilo so washaanza kukaa matangaUkiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Ukiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Bado kuanua tu maana hema ni Tanga hilo so washaanza kukaa matanga
Nchimbi hataki kabisa kuhusianishwa naoHili swala linafikirisha, Chama ambacho kina ofisi kila mkoa, imekuwaje wanaenda kujilundika kwenye hema namna Ile, na Nchimbi yupo wapi mbona amekuwa mtoro wa vikao?
Itakuwa njema yani njema mnoooUkiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Wamevaa uniform za chama, chama ambacho kimekataliwa mpaka na wanachama wake.
Kikao cha chama kifanyike white house?Si wana white house Dodoma hao
Kabisa mkuu, hii inaashiria bendera kupepea nusu mlingoti soon.Ukiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Wanahisi zike kumbi zimewekewa vinasa sauti😂
Hata mgonjwa ukiona ana aibu ya kuangalia watu ujue israili ameshafanya yake, Samia siku hizi hainui macho anaangalia chini tu, hapa parapanda ipo tu atake asitake.