CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,193
- 34,270
Angalia sura zilivyowashuka utafikiria kahaba aliyetoka kutoa mimba.
Angalia sura zilivyowashuka utafikiria kahaba aliyetoka kutoa mimba.
Nchimbi kila siku anawasimulia wenzake kuwa ameota akiokota dodo chini ya muarobaini sasa wameanza kumtenga wanadai ana uchuroHili swala linafikirisha, Chama ambacho kina ofisi kila mkoa, imekuwaje wanaenda kujilundika kwenye hema namna Ile, na Nchimbi yupo wapi mbona amekuwa mtoro wa vikao?
Huyu ni nani ?
Kilikuwa kikao cha lini? Maana leo Mwigulu yuko Arusha anatema propaganda za kizamani tu.
Unaijua white house ya CCM au ndo hivyo tena unakabia juu kama chawa unaijua ya US pekeeKikao cha chama kifanyike white hou
Hahaha ni mwendo wa mateka tu😅Kufika kwenye kikao wajumbe walikua wanavalishwa magunia meusi usoni, unaoandishwa pira unaenda kufumbuliwa macho ndaninya hema in undisclosed location
Mkuu upo, kweli ulisema mara nyingi bwanaLile pigo tayari
Mbona hii sio ishu ya kwamba imewaumiza, ni maamuzi tu
Wanaenda kufanyia kwenye makambi ya Jeshi huko..Kikao cha chama kifanyike white house?
Macho yake yamejaa damu isiyo na hatia.Nikimuona huyo mwanamke nafsi yangu inapata hasira sana.
Mla damu za raia...Huyu ni nani ?
Mbona anaangalia kama anataka kuanza kukimbia?
Wanaenda kufanyia kwenye makambi ya Jeshi huko..
Pigo la Nzige au Inzi na funza..?Lile pigo tayari
Nipo mkuu wangu, tunamwangalia dhalim wa kizimkazi anavyotapatapaM
Mkuu upo, kweli ulisema mara nyingi bwana
Mapema sana hawa washaanza kugawana mbao.Hili swala linafikirisha, Chama ambacho kina ofisi kila mkoa, imekuwaje wanaenda kujilundika kwenye hema namna Ile, na Nchimbi yupo wapi mbona amekuwa mtoro wa vikao?
Hiyo bendera upande wa kushoto wa bi chura ni ya nchi gani?Si wana white house Dodoma hao
Mimi nimeona mafeni yamejaa pembezoniUkiona hema limesimikwa kufanya vikao si dalili nzuri kiroho.. Mark this post ✌🏿
Unaonekana wewe ni mgeni. Kufanyaka ikulu mbona kawaida yao.Kikao cha chama kifanyike white house?