Bado dakika 15 Clouds FM na Clouds TV kurudi hewani

Huu 'Uzi' umeuanzisha Jana halafu tena ukaandika bado dakika 15 Clouds FM na Clouds TV wawe 'Hewani' tena halafu hapo hapo katika 'Content' yako hapa umeandika kabisa kuwa wana 'Adhabu' ya Siku Saba ( 7 ) ambayo 'Logically' tu inaisha Leo na baada ya Saa 5:59 Usiku wa leo ndiyo inaisha hivyo wataanza kuwa 'Hewani' rasmi tarehe 4 Septemba 2020 Siku ya Ijumaa. Hivi hili Jambo 'dogo' tu lilikushinda 'Kulielewa' hadi uje 'Ujichoreshe' hapa jinsi ulivyo 'Mtupu' Kichwani mwako? Kupitia huu 'Upuuzi' wako sasa nami nakubaliana na 'Wadau' kwamba ipo haja kabisa 'Mtaaala' wa Elimu wa sasa wa Tanzania ufanyiwe 'Review' kwani unazalisha Wasomi 'Wapumbavu' na 'Wapuuzi' mno ambao hawavumiliki.
Nilimshangaa pia.
 
Ikumbukwe wiki iliyopita Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) liiadhibu Clouds FM na Clouds TV kusitisha matangazo kwa siku 7 hadi Septemba 03, 2020.
Siku 7 zinatimia ikiwemo Sept 03 , watarudi hewani tarehe 04 Sept, wakiwa wanyonge.
Nawashauri wasijihusishe tena na habari za uchaguzi. Uchaguzi unaisha Oct, maisha yataendelea!!
 
Huu 'Uzi' umeuanzisha Jana halafu tena ukaandika bado dakika 15 Clouds FM na Clouds TV wawe 'Hewani' tena halafu hapo hapo katika 'Content' yako hapa umeandika kabisa kuwa wana 'Adhabu' ya Siku Saba ( 7 ) ambayo 'Logically' tu inaisha Leo na baada ya Saa 5:59 Usiku wa leo ndiyo inaisha hivyo wataanza kuwa 'Hewani' rasmi tarehe 4 Septemba 2020 Siku ya Ijumaa. Hivi hili Jambo 'dogo' tu lilikushinda 'Kulielewa' hadi uje 'Ujichoreshe' hapa jinsi ulivyo 'Mtupu' Kichwani mwako? Kupitia huu 'Upuuzi' wako sasa nami nakubaliana na 'Wadau' kwamba ipo haja kabisa 'Mtaaala' wa Elimu wa sasa wa Tanzania ufanyiwe 'Review' kwani unazalisha Wasomi 'Wapumbavu' na 'Wapuuzi' mno ambao hawavumiliki.
[emoji3526][emoji3526]
 
Stress za maisha zinakusumbua sio bure
 
Hata mimi nimeshangaa kama wamefungiwa kwa siku 7 hadi Septemba 03 ilikuwaje nikaposti kuwa bado dk 15 Clouds fm na Clouds tv warudi hewani wakati hiyo Septemba 03 hata haijafika, maswali uliyoandika mimi ndio yapo kichwani.

Labda nikuswalike GENTAMYCINE Hivi Krismasi na Mwaka Mpya mpya ni ipi inaanza? zimepishana kwa siku ngapi?

Soma na kuelewa kwanza, kabla haujajibu swali.

IQ yangu 'hainiruhusu' kabisa 'Kujibizana' na 'Juha / Popoma' wa aina yako tafadhali sawa? Kajifunze 'Kufikiri' ukiona umekomaa rudi tena Kwangu.
 
Mpaka sasa ni masaa 12 na dakika 26 tangu siku mpya iingie. Vipi na wao wameamua kususa, au!?
 
Uhakika?
Screenshot_2020-09-03-16-46-43.jpeg
 
Hayaa Hayaaa Hayaaaaa!!! Amkeni Amkeniii Amkeniiii!!!! Joseph Kusaga, CEO wa CMG yupo hewani....

cc GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom