Bado dakika 15 Clouds FM na Clouds TV kurudi hewani

Ikumbukwe wiki iliyopita Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania iliiadhibu Clouds fm na Clouds tv kusitisha matangazo kwa siku 7 hadi Septemba 03, 2020.

Huu 'Uzi' umeuanzisha Jana halafu tena ukaandika bado dakika 15 Clouds FM na Clouds TV wawe 'Hewani' tena, halafu hapo hapo katika 'Content' yako hapa umeandika kabisa kuwa wana 'Adhabu' ya Siku Saba ( 7 ) ambayo 'Logically' tu inaisha Leo na baada ya Saa 5:59 Usiku wa leo ndiyo inaisha hivyo wataanza kuwa 'Hewani' rasmi tarehe 4 Septemba 2020 Siku ya Ijumaa. Hivi hili Jambo 'dogo' tu lilikushinda 'Kulielewa' hadi uje 'Ujichoreshe' hapa jinsi ulivyo 'Mtupu' Kichwani mwako? Kupitia huu 'Upuuzi' wako sasa nami nakubaliana na 'Wadau' kwamba ipo haja kabisa 'Mtaaala' wa Elimu wa sasa wa Tanzania ufanyiwe 'Review' kwani unazalisha Wasomi 'Wapumbavu' na 'Wapuuzi' mno ambao hawavumiliki.
 
Back
Top Bottom