umenena vyema ndugu, yaani binadamu kwa asilimia kubwa hatujakamilika"Baboo"...dada namkubali sana huyu japo kuna muda anakera sio kesi
ndiyoKwahiyo Kuna watu mlikuwa mpo attention kuisubiri clouds irudi hewani..!! Hayo ni mahaba aisee
sauti yake kwa mbaali inataka kufanana na Rayvanny sijui atakuwa nani huyu jamaaaNatafuta huu wimbo. Kwa anaejua please share jina lakeView attachment 1557864