KAMANDA MKUBWA
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 288
- 78
Wanawake wana sifa sawa tu wanaume, hawatakiwi kudharauliwa wala kupendelewa kwasababu ya jinsi zao
wanawake wenyewe hawa alosema Paul kuwa wasihudumu madhabauni au kuna wengine, yule mama wa kisabato alikosea sana Mungu amsamehe tu
ndio umesema kweli ila kuna wengne sjui wakoje ata umpende na kumjali vp bado atafanya mauza uza tuu. hadi hii point nliyofikia nimetenda mema meng sana na sasa nahitajin kumjeruhi ili na yeye aamini na moyo wa nyama kama yeye. ndio kuna wanawake wema sana natambua hilo ila wengne ni nuksi amini nakwambia.Nikuulize je YESU wakat anawaambia watu juu ya kifo na ufufuo wake aliwaambia wanawake pekee au la? Kama ni wote kwanini mwanamke ndie alikuwa wa kwanza kwenda kaburin na kufanikiwa kujua kuwa YESU AMEFUFUKA? Je wanaume walikuwa wapi? Kama sio walikuwa wanahangaika na utaftaj rizk za kiduniani! Hivo mwanamke anaweza kuwa mzuri sana kwa mume au mtu yoyote afanyae mazuri, vivo hvo atakuwa mbaya sana kwa mume au mtu afanyae mabaya! mean katika ndoa/uhusiano, maisha ukionesha mambo mabaya ye atakuwa mbaya zaidi na ukiwa mzuri atakuwa mzuri zaidi! Hii ni kwasababu mwanamke tangu mwanzo adi sasa ndie anae shika na kutenda kwa kadri ya biblia inenavo na ndio maana akapewa uwezo wa akili kali sana na MUNGU,,,
SASA we kazana kumuandalia mabaya mwanamke huku MUNGU nae anampa mbinu kali zaidi! Na si kwamba ni upendeleo la hasha tatizo same guyz wanapenda wafanye visasi wao wakati atoae NA apangae ni MUNGU!
Kuwa mpole ishi Mungu atakavyo na si binadamu watakavyo utawapenda wanawake na kuwafurahia kama wanaume wengne wanavowafurahia.
umeua..Ticha kasema hv"Kesho msije shule Nyerere atakufa".