Badili mkao wa kitanda chumbani

Nilifikili labda""" hamisha kitanda chako vile ukata wa magu hautakuhusu""

Kumbe not yet solved !
 
Kaka mimi nikilalaga usiku huwa naskiaga sehemu ya mbele ya ubongo wangu, maeneo ya kusujudia apa kama kuna vuta kabisa kama kuna kitu kipo ndan nahis hii inatokeaga kila siku kuna tatizo mkuu
Hii inawezekana ikawa ni ya kitabibu zaidi! Vp Ulishawahi kwenda hospital?
 
Sawa na kuweka mpira katikati ya uwanja anybody can kick
Kwahiyo ukifanya hivyo kwa kitanda kila nguvu itakugombania
Sasa hawa wenzetu wenye mihekaru wanaowekaga vitanda katikati yabchumba uku kimezungukwa na matakataka kibao.inamaana wapo ktk hatari ulya kushambuliwa na roho chafu??na je matatizo gani zaidi mtu waweza pata ukishambuliwa sana na kwa mda mrefu?
 
Yale mahekalu hujengwa kwa maana maalum na mahesabu yake kuanzia rangi mpaka nini kikae wapi...
Madhara hakuna zaidi ya usumbufu
 
unaweza ukadhani kiko katikati lakini kiuhalisia from aerial view hakiko katikati
 
Mkuu kwa mm nisiyejua kaskazini ni upande UPI si imekula kwangu.....mfano Kkoo ni upande UPI?
 
Mkuu kwa mm nisiyejua kaskazini ni upande UPI si imekula kwangu.....mfano Kkoo ni upande UPI?
Hahahahaa.
Umenichekesha kweli Mkuu. umesoma shule ya msingi? nakumbuka Jiografia ya darasa la tatu ndo tulipoanza kujifunza pande nne za dunia (Four cardinal points). Kama unaikumbuka hii, basi naamini unajua kaskazini, kusini, mashariki na magharibi ziko wapi. Kujua k/koo iko wapi inategemea wewe uko wapi.
 
Nilishawahi kuulizwa..! Eti hapa tulipo kushoto ni wapi?
Lakini zamani sana wayback 1994 dada mmoja nilimuuliza unakaa wapi akaniambia ukienda hivi kushoto, hapo ilikuwa ni Dar kumbe huko kushoto anakosema ni Lugoba[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Niko Chanika mkuu,haya maisha yanatufanya tupoteze network na huu Uzi umenigusa maana namaliza kubadiri kitanda tu nakutana nao
 
Niko Chanika mkuu,haya maisha yanatufanya tupoteze network na huu Uzi umenigusa maana namaliza kubadiri kitanda tu nakutana nao
Kwa kukusaidia Kama ukitazama jua linakotoka, siku zote kaskazini ni kushoto kwako. Nyuma yako ni Magharibi na kulia kwako ni kusini. Kwa hiyo ukiwa Chanika, K/koo iko Mashariki ambako ndiko jua linako toka.
 
Nilishawahi kuulizwa..! Eti hapa tulipo kushoto ni wapi?
Lakini zamani sana wayback 1994 dada mmoja nilimuuliza unakaa wapi akaniambia ukienda hivi kushoto, hapo ilikuwa ni Dar kumbe huko kushoto anakosema ni Lugoba[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahahahahaa.
Hahahahaa
Hahahahaa
Mshana Jr umenichekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…