Badili mkao wa kitanda chumbani

Mshana jr kwa Mungu wewe ni jipu. Nijuze hili kama unaufahamu nalo, mimi nikilala chini ktk godoro tu pasipo kitanda, nalala usingizi fofofo kitakachonistua ni alarm tu km nimeitegesha tofauti kbs na kitandani. Je kuna siri gani hapa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hicho kitanda chako nacho ni jipu! Je Ulishawahi kulala na mwanamke ukamuahidi kumuoa kisha ukampotezea? Hilo limefanyiwa colabo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Everywhere is north, south, east and west. Kwa hii law yako mi ninaipinga kabisa

Mfano if I am at the middle and I ask you to move Southside from my point, where would I be?, and if I am at the same position and I ask you move to eatside, where would I be from your position, apply these to all 4 cardinals and you will agree with me.
 
There is no such theory, hiyo ni sayansi yako tu mkuu. There is no everywhere is north. Otherwise compasss zisingekuwepo. Or theory ya magnetism isingekuwepo kwa theory yako hiyo. Unachokizungumzia ni celestial sphere. Lakini kumbuka hii ni imaginary. Hata ungekuwa kwenye centre ya dunia bado north ipo tu. Kwa theory yako inamaana hata hiyo 4 cardinal haipo sasa. Kwa sababu 4 cardinal ndio inadefine hizo directions.
 
Mi mbona nabdlshaga kuutwa na siyaonag hayo! Imani nabayana na kuamini yasiiyoonekana na ndoto ni bayana na mambo uliyoyawazaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hicho kitanda chako nacho ni jipu! Je Ulishawahi kulala na mwanamke ukamuahidi kumuoa kisha ukampotezea? Hilo limefanyiwa colabo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...teh hee..sasa hizo si fiksi za kawaida ili ugonge ngozi?
...zina msala?
 
Kaka mimi nikilalaga usiku huwa naskiaga sehemu ya mbele ya ubongo wangu, maeneo ya kusujudia apa kama kuna vuta kabisa kama kuna kitu kipo ndan nahis hii inatokeaga kila siku kuna tatizo mkuu
 
...mi nilikuelewa lakini nikajaribu kuwaza issue ya magnetism, but now nimejaribu kutafakari Ni kuona you got a point, tunajifunza pia mdau, kudos
 
...mi nilikuelewa lakini nikajaribu kuwaza issue ya magnetism,
 
...mi nilikuelewa lakini nikajaribu kuwaza issue ya magnetism,
Mbona inaeleweka vizuri tu Mkuu. Dunia yetu imejaa magnetic field sehemu kubwa. Ndio maana kusoma compass ili upate true measurements unaconsider variation na deviation. Hizi ni effects za earth's magnetic field. Pia Haemoglobin in madini ya chuma, ndio maana unapougua anemia ukienda hospital unaambiwa una upungufu wa madini chuma (iron-Fe). Apply physics kidogo ya chuma na sumaku. Lazima kutakuwa na uvutano ambao utacompress au ku stretch ubongo wako unapolala ukiangalia North kwa kutegemea directions za hizo earth's magnetic field.
 
Nimepata darasa la bure hapa! Thanks Invisble275
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…