Badili mkao wa kitanda chumbani

Sababu ni ipi sasa kitanda kikiinama unaota? Na unaota ndoto za namna gani?
Za malovee [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji134] [emoji173] [emoji170] [emoji85] [emoji125] [emoji125]bila bikini
 
Za malovee [emoji7] [emoji8] [emoji39] [emoji134] [emoji173] [emoji170] [emoji85] [emoji125] [emoji125]bila bikini
Ha ha ha acha nibinue kitanda kabisa daaadeki nilale kama nataka kuanguka
 
Ha ha ha acha nibinue kitanda kabisa daaadeki nilale kama nataka kuanguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umepinda kweli wewe ujue
 
Sababu ni ipi sasa kitanda kikiinama unaota? Na unaota ndoto za namna gani?
Sababu ni za kimwili tu wala si uchawi wala nguvu za giza.
Nadhani damu inapokuwa imehamia kichwani/ubongo ndio sababu za ndoto kuja kwa mfululizo.

Na unaota ndoto za namna gani?

[emoji115][emoji115]
Ndoto huwa mchanganyiko
 
Mimi ni mwaminio na YESU KIRSTO NDIO MUNGU WANGU hata ivo naliamini neno na ndo chakula cha uzima maana kumkiri KRISTO lazima ulishike neno,nauliza tu wewe una elewa vipi kuhusiana naWAAMINI/WAAMINIO
 
Nataka kukubaliana na wewe. Mie mara nyingi nikilala kichwa kaskazini au kusini usiku kucha ni majinamizi! mara uote unakula minyama michafu, mara unaua, ili mradi ni shida. Na hii hubadilika kila baada ya vipindi vya majira yaani summer au winter na hususani kuelekea September na March. Hivyo kwa mwaka naweza kubadili ulalaji ( welekeo wa kichwa) mara nne......kuelekea September, December, March na June. Bila hivyo nitaweweseka usiku kucha na kama ni mgeni utanikimbia. Ila nikibadili tu mambo yanakaa sawa!!! mshana jr r Invisble275
 
Mimi ni mwaminio na YESU KIRSTO NDIO MUNGU WANGU hata ivo naliamini neno na ndo chakula cha uzima maana kumkiri KRISTO lazima ulishike neno,nauliza tu wewe una elewa vipi kuhusiana naWAAMINI/WAAMINIO
Mimi nami ni kana wewe tuu. . . nami ni wa Kristo nikiwa na imani thabiti isiyotetereka
 
Unajua kwakuwa kuna watu aidha kwa kukosa tafakuri au kwa kutojua au vinginevyo waliona kama hii mada ni kitu tu cha kufikirika toka kichwani mwangu kama mmoja alivyochangia....siwezi kuwalaumu kwakuwa dunia yao iko chini ya mwamvuli
 
mshana jr Leo umenifungua macho mkuu. Kuna wakati ilikua ikifikasaa nane usiku lazima niweweseke au kuamka Kwa mshtuko sometimes nahisi kuna mtu ndani zaidi ya sisi wawili kitandani ikafikia hatua tunahama chumba [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] ikawa kitu kinaniambia kitanda mwelekeo wake so mzuri badili mpaka nikaamua rasmi kubadili Toka hapo sjaweweseka hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…