Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Hii ni biashara ya kisayansi.
Lazima ujue unakiasi gani cha miwa in area na unategemea upate uzito wa miwa kiasi Gani in tons na kisha utamu kwenye hizo tons kiasi Gani yaani sucrose. Pia sucrose recovery kutoka kwenye first extracted juice uijue.
Hapo wanataaluma wa kilimo na uhandisi hawana shaka hutoa vitu yamkini. Shida ni pale takwimu za uzalishaji zilizofanywa kisayansi kushindwa kushabihishwa na utumiaji sukari.
Huwezi cheza na namba za production hakuna mwekezaji atakaye kubali Hilo. Ila kubadili number ya uhitaji waweza maana hapo ndipo ulaji ulipo
Sina Shaka Na Ulilonena Mkuu So Tupo Pamoja Kwmb Kuna Sehemu Serikali Inadanganywa Hasa Baada Ya Sukari Kuzalishwa Maana Ndipo Mzunguko Unatengenezwa Kunatengenezwa Kuanzia Kiwandani Hadi Sokoni.
 
Hapa Tanzania Wafanyasiasa wanajiona wanajua kila jambo / kitu. Hawaheshimu ushauri wa Wataalamu makini (WAPO WATAALAMU MUFLISI).
Dharau hii inaleteleza mifumo dhaifu ya utendaji kazi maeneo yote!
JPM asipopata ufunuo kuhusu njia sahihi ya kupita, basi tutaingia kwenye shimo refu la mashaka na vilio kama Italia ilivyokuwa miaka ya 1970s & 1980s!
 
Shida hii is too temporary kuliko kuua viwanda. Soon itaisha. Viwanda vitaanza kusaga miwa kuzalisha sukari after two to three weeks from today
Yah Mara Nyingi Vinaanza June Up To July. Tuendelee Kuomba Mungu Maana Baadhi Ya Watz Wanajiita Wazalendo Huku Wakilaani Nia Njema Ya Serikali Bila Kujali Kuteleza Kupo.
 
Sina Shaka Na Ulilonena Mkuu So Tupo Pamoja Kwmb Kuna Sehemu Serikali Inadanganywa Hasa Baada Ya Sukari Kuzalishwa Maana Ndipo Mzunguko Unatengenezwa Kunatengenezwa Kuanzia Kiwandani Hadi Sokoni.
Data za uzalishaji zipo wazi maana hubandikwa kila siku ubaoni. Hata mtu Mdogo. Mdogo katika sector ya sukari hujua kilichozalishwa kwa siku lengo la wiki lengo la mwezi na lengo la msimu wa uzalishaji. Shida ni data za kiasi cha huhitaji wa sukari domestically and commercially. Hapo ndipo raisi alipotolea macho bodi na wafanya biashara wakala kona
 
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli Mkuu, Lakn Wafanyabiashara Walificha Sukari Kwasababu1 Tu, Serikali Kutoa Bei Elekezi, Vinginevyo Wasingeificha.
Nchi Ikiendeshwa Na Wafanyabiashara Haifiki Mbali Mkuu.
 
Hapa Tanzania Wafanyasiasa wanajiona wanajua kila jambo / kitu. Hawaheshimu ushauri wa Wataalamu makini (WAPO WATAALAMU MUFLISI).
Dharau hii inaleteleza mifumo dhaifu ya utendaji kazi maeneo yote!
JPM asipopata ufunuo kuhusu njia sahihi ya kupita, basi tutaingia kwenye shimo refu la mashaka na vilio kama Italia ilivyokuwa miaka ya 1970s & 1980s!
[emoji115] [emoji120] True Say Kaka. Hata Venezuela Baada Ya Hugo Kufariki Mambo Yameharibika Sasa.
JPM Ananina Njema Lakn Kazi Anayo Kuondoa Systeam chafu Kuweka Safi.
 
Magu mm ni Mfanyakaz wangu iyo bodi anaijua yeye, Nilimpa kaz tena aliomba kwa pushapu na mbwembwe kibao, alafu tena ww unasema ilaumiwe bodi huo ni Ujinga wa kupitiliza
Mbona Hujatoa Sababu Mkuu. Tia Sababu Unishawishi Sio Kuongea Tu.
 
Kila baada ya uchaguzi mkuu hutokea vitu vinavyofanana na hii ya sukari, kwanini? Hawa jamaa wanaouza sasa hivi kwa bei hii kubwa huenda ndiyo walengwa wa hiyo faida wanayopata sasa hivi kama malipo fulani baada ya kukopesha kiaina before? Nawaza tu.
 
Last Time Anaongea Alisema Kwmb, Sukari Ipo Na Inatosha Kwa Matumizi Ya Tz.
Ushahidi Umeonekana Baada Ya Waloificha Kukutwanayo, So Serikali Ilikuwa Sahihi Na Bodi Ya Sukari Pia Ilikuwa Sahihi.
Kwa kuzingatia hilo ndiyo maana hata kina Mbowe walikua wanaishauri serikali izuie utoaji vibali vya sukari ili kulinda viwanda vya ndani, hivyo upo sahihi hakun maana ya kuilaumu serikali.
 
Kwa kuzingatia hilo ndiyo maana hata kina Mbowe walikua wanaishauri serikali izuie utoaji vibali vya sukari ili kulinda viwanda vya ndani, hivyo upo sahihi hakun maana ya kuilaumu serikali.
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji736] Lakn Cha kushangaza Lawama Inatupiwa Serikali.
 
Hivi una ushahidi maamuzi ya Rais ni ushauri wa bodi?
Rais huu anashaurika?
Kwa kuweka picha ya mmarekani nimekutoa thamani, maana wewe si mwenzetu na hujui yanayoendela tanzania, kwa kukusaidia hao kina Mbowe walikwisha ishauri serikali kuzuia vibali maana sukari ya nje inaua viwanda vya ndani lakini mkwere alikua hawasikilizi ila huyu jamaa kwakujua kuwa jamaa wanampinga kila kitu anawachezea movie ya kuwaua kabisa, waliofikiri jamaa si mwanasiasa walipiga mahesabu vibaya jamaa ni muigizaji mzuri ila kwa maslahi ya Taifa na Chama chake yeye anafanya kwa vitendo yale yale waliyokuwa wanayapigia kelele CDM akijua fika watampinga, halafu anakuja na kibwagizo nagawa bure na serikali yangu itanunua sukari na kuuza kwa bei nafuu. Umeona wapi mcheza sinema wa kumzidi?
 
Sukari ya nje ndio inasaidia bei kushuka...

Kwa miundo msingi ya viwanda vyetu hata tukizalisha tani laki sita bei ya sukari itazidi shilingi 5000/=

Magufuli akiambiwa haya anabisha!
 
ni lini wananchi tumepiga kura kuchagua bodi ya sukari?
 
Legal Paspectives And Social Paspctvs.
Mtoto Wa Mama Sio MamaJapo Kazaliwa Na Mama.

???

Acha kujichanganya na kuchanganya watu hapa Prosper kwa kutumia vibaya maneno ya lugha ya watu!!

Kwa lugha nyepesi na ya kueleweka ni kwamba Bodi ya Sukari ni chombo cha serikali.

Na chombo hiki i.e Bodi ya sukari kipo chini ya wizara inayoongozwa na Mwigulu Nchemba - Kilimo na chakula................!!

Ikikosea Bodi ya Sukari, moja kwa moja tunasema serikali imekosea. Vivyo hivyo kinyume chake.

Sijakupata hasa unachobishia ni kitu gani na lengo lako ni nini hasa!!
 
What a nonsense! Sasa hivi mnaanza kutafuta watu wa kuwavisha lawama kwa aliyoyafanya magufuli!Eti ilaumiwe bodi!..wakati ni magufuli ndo alikataza sukari isiingie na si bodi..Ina maana hiyo bodi ni mpya kusema ilikuwa inamshauri kikwete vingine na hii inamshauri huyu vingine!Kubalini alichemka na anaendelea kuboil...
 
Last Time Anaongea Alisema Kwmb, Sukari Ipo Na Inatosha Kwa Matumizi Ya Tz.
Ushahidi Umeonekana Baada Ya Waloificha Kukutwanayo, So Serikali Ilikuwa Sahihi Na Bodi Ya Sukari Pia Ilikuwa Sahihi.
Alishauriwa na kamati ya bunge...tena na waziri mzoefu wa viwanda na biashara..akamtumia takukuru.
 
Back
Top Bottom