Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

mkuu unazungumzia bodi hizi za wala rusha ,ni bodi gani mpaka sasa imeweza kufanya kazi yake , kuanzia TPA, TCRA, ,wao ukiwapa tu bahasha ya kaki wakotayari kusema hata mahitaji ya sukari ni tani 10m kwa mwezi ili hayo mabebari yapate kibali
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109] Hili Ndilo Tatizo Tulilonalo Mkuu.
 
Wakulaumiwa ni Mr Mzuka, na mizuka yake, sukar tu imemshinda je mambo mengne, ndo tatizo la nchi inayoongozwa kiujanjaujanja
Kimantiki ya kulinda viwanda yupo sawa. Hii ni shida ya Muda mfupi kuliko kuviua viwanda vya sukari kwa neema ya wachache. He is building data base. Ila aende pale Mtibwa wale jamaa hawazalishi kitija. Mdebwedo mnoooo
 
Hakuna sukari ya kuuza nje
Wakati wa ugumu wa soko bado nchi ilinyima kibali.
Four years ago kulikuwa na soko la upendeleo kwa afrika na specifically Tanzania for white sugar. Tulishindwa baada ya soko kuondoka na refinery plant kutolewa kabisa.
Kuna Sukari Maarufu Export Sugar Rangi Ya Brown Imeuzwa Sana Ile, Labda Kwasasa Wameizuia Lkn Iliuzwa Sana Kama Malighafi.
 
So Nani Tumshike Mchawi Mkuu?!.
Serikali Inayolinda Maslahi Ya Viwanda Vya Ndani Au Au Bodi Ya Sukari Ilotoa Takwimu Ambazo Si Sahihi Ama Zilikuwa Sahihi Lakn Haikuwashirikisha Wholesalers?
Bodi inaundwa na serikali. Ni mtoto wa serikali. Serikali ni kila kitu. Hii ni shida ya Muda mfupi kuliko kuviua viwanda vya sukari kwa neema ya wachache. Tuvumilie
 
Hivi una ushahidi maamuzi ya Rais ni ushauri wa bodi?
Rais huu anashaurika?
 
Napenda Unaongea Vyema San, What To Do Hata Bodi Ivunjwe Tu Waweke Nzuri Ambayo Inaaminika Na Si Hii Inayoharibi Sifa Ya Serikali.
 
Kimantiki ya kulinda viwanda yupo sawa. Hii ni shida ya Muda mfupi kuliko kuviua viwanda vya sukari kwa neema ya wachache. He is building data base. Ila aende pale Mtibwa wale jamaa hawazalishi kitija. Mdebwedo mnoooo
Mkuu wenye ivyo viwanda vya Mtibwa na Ilovo kilombero wanajulikana na hata Magu anawajua
 
Napenda Unaongea Vyema San, What To Do Hata Bodi Ivunjwe Tu Waweke Nzuri Ambayo Inaaminika Na Si Hii Inayoharibi Sifa Ya Serikali.
Hii bodi imebanwa vizuri ndio mana hili gap lipo bayana. Walizoea kudanganya na kutoa vibali kwa mahitaji hewa. Kilombero imepandidha bei ya kununua miwa kwa wakulima msimu huu. So watu walime watauza bayana.
 
Kimantiki ya kulinda viwanda yupo sawa. Hii ni shida ya Muda mfupi kuliko kuviua viwanda vya sukari kwa neema ya wachache. He is building data base. Ila aende pale Mtibwa wale jamaa hawazalishi kitija. Mdebwedo mnoooo
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sasa Pale Hata Wafanyakazi Wenyewe Wanalipwa Tarh40[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
So Nani Tumshike Mchawi Mkuu?!.
Serikali Inayolinda Maslahi Ya Viwanda Vya Ndani Au Au Bodi Ya Sukari Ilotoa Takwimu Ambazo Si Sahihi Ama Zilikuwa Sahihi Lakn Haikuwashirikisha Wholesalers?
Tatizo kubwa wenye viwanda hawako wazi katika kutoa takwimu sahihi za uzalishaji wao wa sukari. Kila kiwanda kinaficha uhalisia wa uzalishaji na hakitoi taarifa sahihi na hii inafanya wenye kutoa maamuzi washindwe kutoa maamuzi sahihi. Na wanaficha taarifa kwa makusudi ili kulinda baadhi ya maslahi yao.
Bodi ya sukari sidhani kama ilijiaandaa vya kutosha, aidha ni kwa kuwa hawana weledi wa ktosha au bado wanafanya kazi kwa mazoea. Nakumbuka zamani sana walikuwepo SUDECO hawa nao sijui waliishia wapi.
 
Hivi una ushahidi maamuzi ya Rais ni ushauri wa bodi?
Rais huu anashaurika?
Katiba Iko Wazi Kaka Japo Inasema Si Lazima Rais Akubali Ushauri.
Serikali Imefanya Mambo Mengi Mazuri Kwa Kipindi Kifupi So Hili La Sukari Sidhani Kama Ni Shida Kuuubwa Wakat Serikali Ilizuia Kwa Nia Njema Ya Kulinda Viwanda Vya Ndani.
Do U Mean Serikali Ilikuwa Na Nia Mbaya Ktk Hili, Nijuze Tafadhari.
 
Tatizo kubwa wenye viwanda hawako wazi katika kutoa takwimu sahihi za uzalishaji wao wa sukari. Kila kiwanda kinaficha uhalisia wa uzalishaji na hakitoi taarifa sahihi na hii inafanya wenye kutoa maamuzi washindwe kutoa maamuzi sahihi. Na wanaficha taarifa kwa makusudi ili kulinda baadhi ya maslahi yao.
Bodi ya sukari sidhani kama ilijiaandaa vya kutosha, aidha ni kwa kuwa hawana weledi wa ktosha au bado wanafanya kazi kwa mazoea. Nakumbuka zamani sana walikuwepo SUDECO hawa nao sijui waliishia wapi.
Hapo Umenena Mkuu, SUDECO Yah Naikumbuka Vyema Sana.
Nafikiri Bodi Nayo Imefichwa Lakn Kwa Imani Naamini Data Za Kweli Ktk Uzalishaji Zinafichwa Na Viwanda Kama Usemavyo.
 
Tatizo kubwa wenye viwanda hawako wazi katika kutoa takwimu sahihi za uzalishaji wao wa sukari. Kila kiwanda kinaficha uhalisia wa uzalishaji na hakitoi taarifa sahihi na hii inafanya wenye kutoa maamuzi washindwe kutoa maamuzi sahihi. Na wanaficha taarifa kwa makusudi ili kulinda baadhi ya maslahi yao.
Bodi ya sukari sidhani kama ilijiaandaa vya kutosha, aidha ni kwa kuwa hawana weledi wa ktosha au bado wanafanya kazi kwa mazoea. Nakumbuka zamani sana walikuwepo SUDECO hawa nao sijui waliishia wapi.
Nadhani hufahamu taratibu za sukari katika kuzalisha.
Fahamu haya.
1. Kila kiwanda hutoa takwimu zake za uzalishaji bodi ya sukari za msimu uliopita na tazamio la ujao.
2. Bodi ya sukari na Waziri mwenye dhamana hupitia na kujua kifuatacho kuhusu bidhaa hiyo yaani upungufu wake utakuwaje maana capacity ya viwanda haikidhi hitaji
3. Sukari huagizwa kwa kujali yafuatayo
a. Matumizi ya kawaida domestic
b. Matumizi ya viwanda industrial
Vibali hutolewa kwa watu na makampuni
 
Kwa nini uitofautishe Bodi ya sukari na Serikali?

Hii Bodi ya Sukari kwa ufahamu wangu ni wakala wa serikali inayotekeleza majukumu yake kwa niaba ya serikali.

Hata wajumbe wa Bodi pamoja na Mwenyekiti wake lazima ni appointees wa Rais mwenyewe direct au kupitia kwa waziri mwenye dhamana ya kilimo na chakula.

Therefore; Bodi ya sukari = Serikali na chochote kinachoendelea kuhusu sekta ya sukari hapa nchini huwezi kukitenganisha na maamuzi ya serikali!!
Kama TRA Na Serikali Sio. Nakubali Mkuu Lakn Kuna Bodi Ya Sukari Na Serikali.
 
Ndio maana asubuhi nilileta uzi hapa nikasema tunapaswa kusikia na maoni ya wafanyabiashara hawa kupitia vyombo vya habari ili pia tusike kutoka kwao.
Yah Mkuu, Umenena Vyema, Huwenda Hawa Jamaa Hawakupewa Nafasi Hiyo, Coz Kisanga Kimekuja Baada Ya Kushusha Bei Na Si Vinginevyo.
 
Nadhani hufahamu taratibu za sukari katika kuzalisha.
Fahamu haya.
1. Kila kiwanda hutoa takwimu zake za uzalishaji bodi ya sukari za msimu uliopita na tazamio la ujao.
2. Bodi ya sukari na Waziri mwenye dhamana hupitia na kujua kifuatacho kuhusu bidhaa hiyo yaani upungufu wake utakuwaje maana capacity ya viwanda haikidhi hitaji
3. Sukari huagizwa kwa kujali yafuatayo
a. Matumizi ya kawaida domestic
b. Matumizi ya viwanda industrial
Vibali hutolewa kwa watu na makampuni
Nashukuru kwa taarifa ila kuna maswali ya kujiuliza katika fahamu ulizonijuza:
1. Je takwimu za uzalishaji za msimu uliopita na matazamio zilikuwa sahihi? Je huu uhaba umetokea wapi kama walikuwa na takwimu sahihi? Je hii sukari iliyofichwa ni kweli ndiyo inayosababisha uhaba wa sukari?
2. Je Bodi ya sukari na Waziri mwenye dhamana walijua mapungufu ya uzalishaji wa sukari?
3. Je kama walijua kuna upungufu kwa nini walikubaliana na usitishaji wa utoaji wa vibali vya sukari?
 
Back
Top Bottom