Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Si Umeona Sukari Imekamatwa Moro, Dom, Arusha, Iringa, Mwanza na Mikoa Mingineyo, Au Haujapata Hiyo Taarifa?!.
Siku zote watu huweka stock...mfanyabiashara wa jumla ambae hana stock huyo ni wa ajabu..Labda kama imewekwa sharia sasa hivi ukikutwa na stock yoyote iwe ya mahindi,mchele,cement maharage wewe ni muhujumu uchumi..
 
Back
Top Bottom