Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Nashukuru kwa taarifa ila kuna maswali ya kujiuliza katika fahamu ulizonijuza:
1. Je takwimu za uzalishaji za msimu uliopita na matazamio zilikuwa sahihi? Je huu uhaba umetokea wapi kama walikuwa na takwimu sahihi? Je hii sukari iliyofichwa ni kweli ndiyo inayosababisha uhaba wa sukari?
2. Je Bodi ya sukari na Waziri mwenye dhamana walijua mapungufu ya uzalishaji wa sukari?
3. Je kama walijua kuna upungufu kwa nini walikubaliana na usitishaji wa utoaji wa vibali vya sukari?
Hapa Ndipo Mapungufu Yalipo. Tunasafaru Kubwa Sana Nchi Hii
 
Nashukuru kwa taarifa ila kuna maswali ya kujiuliza katika fahamu ulizonijuza:
1. Je takwimu za uzalishaji za msimu uliopita na matazamio zilikuwa sahihi? Je huu uhaba umetokea wapi kama walikuwa na takwimu sahihi? Je hii sukari iliyofichwa ni kweli ndiyo inayosababisha uhaba wa sukari?
2. Je Bodi ya sukari na Waziri mwenye dhamana walijua mapungufu ya uzalishaji wa sukari?
3. Je kama walijua kuna upungufu kwa nini walikubaliana na usitishaji wa utoaji wa vibali vya sukari?
1. Takwimu zilizotolewa na viwanda zilikuwa sahihi.
Upungufu wa sukari hachangiwi kwa [emoji817] na sukari ilifichwa.
2. Waziri alijua tutakuwa na upungufu wa sukari ndio mana raisi alisema vibali vyote ni yy au Waziri mkuu.
3. Vibali vilizuiliwa ili kutoa picha halisi ya hitaji la sukari. Labda kukupa picha tu. Viwanda kama vya soda navyo huagiza sukari. Shida ni kuwa hudanganya kuwa wanaleta kwa ajili ya industrial use kisha wanatumia kwa biashara ya domestic use. Sasa unaweza Dhani ni wafanya biashara tu ndio wakorofi kumbe lipo kundi jingine limejificha. Kwa sasa kila mmoja anajua nini tuna hitaji kwa domestic. Hao wa industrial nao watasema ila hawataleta raw sugar but refined sugar. Sorry naanza sinzia
 
tatizo watz tunahujumiana sisi kwa sisi, halafu unakuta mtu anafurahia kuhujumiwa kwa serikali wakati tunaeumia ni wananchi.
Ushabiki Wa Vyama Umekuwa Tatzo Kwetu, Mtu Anafurahia Serikali Kukosea Ili Aikosoe Apate Sifa Wakati Tunaumia Sote Kama Usemavyo.
Wanasiasa Wanatujaza Vitu Ambavyo Wala Hatuviangalii Kwa Kina Kisa Tunawaamini.
 
1. Takwimu zilizotolewa na viwanda zilikuwa sahihi.
Upungufu wa sukari hachangiwi kwa [emoji817] na sukari ilifichwa.
2. Waziri alijua tutakuwa na upungufu wa sukari ndio mana raisi alisema vibali vyote ni yy au Waziri mkuu.
3. Vibali vilizuiliwa ili kutoa picha halisi ya hitaji la sukari. Labda kukupa picha tu. Viwanda kama vya soda navyo huagiza sukari. Shida ni kuwa hudanganya kuwa wanaleta kwa ajili ya industrial use kisha wanatumia kwa biashara ya domestic use. Sasa unaweza Dhani ni wafanya biashara tu ndio wakorofi kumbe lipo kundi jingine limejificha. Kwa sasa kila mmoja anajua nini tuna hitaji kwa domestic. Hao wa industrial nao watasema ila hawataleta raw sugar but refined sugar. Sorry naanza sinzia
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Lala Tu Mkuu Lakn Tumepata Jambo Juu Yako. Unajua Wapo Watu Wenye Mawazo Mazuri Tu Kama Yako Lakn Shida Wapo Nyuma Ya Camera Sasa Kuyapata Haya Ili Serikali Iyafanyie Kazi Ni Ishu.

SWALI KWAKOM
1. Sukari Kwa Matumizi Ya Viwandani Kama Pepsi, Inatofautigani Na Hii Ya Domestic?.

2. Kama Sukari Ya Viwandani Kama Peps Inatofauti Na Domestic, Je Ukiwa Unanunua Kuna Sehem Unajaza Inaenda Kiwandani Au Home?.

3. Viwanda Kama Peps Huwa Wanapewa Kibali Wao Au Wanapitia Kwa Wholesalers?.

UKIAMKA MAJIBU TAFADHARI.
 
Hakuna kificho kwa wazalishaji labda kwa walaji
Mkuu Bongo Hii Kwa Figisu Sidhani, Wapigaji Ni Wengi Sana, Coz Hakuna Takwimu Ambazo Bodi Inaweza Kuthibitisha Kwmb Tani Ngapi Za Miwa Zinatoa Sukari Kiasi Gani Maana Hata Hyo Miwa Ukipima Sample Utakuta Huu Uko Juu Na Ule Chini Viwango Vya Sukari Havilingani Japo Hesabu Ya Uwiano Ipo.
 
1. Takwimu zilizotolewa na viwanda zilikuwa sahihi.
Upungufu wa sukari hachangiwi kwa [emoji817] na sukari ilifichwa.
2. Waziri alijua tutakuwa na upungufu wa sukari ndio mana raisi alisema vibali vyote ni yy au Waziri mkuu.
3. Vibali vilizuiliwa ili kutoa picha halisi ya hitaji la sukari. Labda kukupa picha tu. Viwanda kama vya soda navyo huagiza sukari. Shida ni kuwa hudanganya kuwa wanaleta kwa ajili ya industrial use kisha wanatumia kwa biashara ya domestic use. Sasa unaweza Dhani ni wafanya biashara tu ndio wakorofi kumbe lipo kundi jingine limejificha. Kwa sasa kila mmoja anajua nini tuna hitaji kwa domestic. Hao wa industrial nao watasema ila hawataleta raw sugar but refined sugar. Sorry naanza sinzia
Pole sana kwa huo wito wa kiasili ila natumai kesho utaendelea ulipoishia.
 
Mkuu Si Kweli, Uzalishaji Wa Viwanda Vyote Tz Uwe Tani Laki3 Kwa Kipindi Cha Miezi 10?.

Ok Hata Nikiamini Usemalo, So Serikali Ilipata Hizo Data Wapi Mkuu Ebu Niweke Wazi.
JK hakuwa mjinga alifanya utafiti kadhiridhisha kuwa VIWANDA VYETU haviwezi kutosheleza mahitaji ya watu 45 ml. Tatizo ni kujipendekeza kwa watu ili tuonekane tunafanya kazi, issue nyingine zinahitaji busara na hekima na Kumwomba MUNGU, uwezo wa VIWANDA ni tani 320000 mahitaji 420000 je hiyo 100000ton itatoka wapi?????!!!
 
Ok Sasa Nani Tumshike Uchawi?
Serikali Au Bodi Ya Sukari?
 
*Moja Kati Vitu Ambavyo Serikali Inatakiwa Ifanye Ni Kusikiliza Wananchi Wake Ikiwemo Sekta Binafsi.

*Viwanda Vya Sukari Vililalamika Kwamba Vinashindwa Kufanya Biashara Kwa Kuwa Sukari Nyingi Inaingizwa Kutoka Nje. Hii Inamaanisha Kwamba Sukari Ya Tanzania Inatosheleza Kabisa Na Hatuwezi Kuwa Na Mapungufu.

*Hata Hivyo Tanzania Tunaviwanda Vi4 Vya Sukari Ambavyo Ni,
1. TPC MOSHI.
2. KAGERA SUGAR.
3. KILOMBERO SUGAR (Moro)
4. MTIBWA SUGAR (Moro)

Zanzibar Nilisikia Kinajengwa Miaka Fulani Lakn Sina Uhakika Kama Kipo Au Lah.

*Serikari Ilifanya Vyema Sana Kusikiliza Bodi Ya Sukari Ambayo Ndiyo Inayoratibu Uzalishaji Wa Sukari.

*Tatzo Si Kwamba Sukari Hakuna Nchini, Ukweli Ni Kwamba, Mdudu Aliingia Baada Ya Serikali Kutoa Bei Elekezi. Whole Salers Waliona Kama Wanaonewa Maana Wao Walinunu Sukari Kwa Bie Ya Awali Na Kabla Stock Haijakata, Serikali Inatoa Bei Elekezi Ukizingatia Kuna Gharama Walizotumia Kwa Bei Ya Awali Na Si Hii Ya Sasa.

MASWALI YA KUJIULIZA.
1. Serikali Inawezaje Kuzuia Sukari Isiingie Nchini Bila Takwimu Za Bodi Ya Sukari Ambayo Ndiyo Inaratibu Uzalishaji?!.

2. Serikali Inawezaje Kupanga Bei Ya Sukari Bila Kuishirikisha Bodi Ya Sukari?!.

3. Je, Bodi Ya Sukari Ilitoa Takwimu Sahihi Au Ilikubaliana Na Serikali Kwa Nidhamu Ya Woga?!.

4. Je, Bodi Ya Sukari Iliongea Na WholeSalers Au Ilifanya Maamuzi Bila Kuwashirikisha?!.

5. Kama Bodi Ya Sukari Iliongea Na Wholesalers, Kwanin Isiwape Muda Wamalize Sukari Walonunua Kwa Bei Ya Juu?!.

6. Je, Bodi Ya Sukari Ili Ilizingatia Msimu (Low&High Season Of Production) Kwa Viwanda Vya Sukari Tanzania?!.

Wakulaumiwa Sio Serikali Bali Ni Bodi Ya Sukari Ambayo Nina Hakika Haikuwa Wazi Kwa Serikali Maana Kama Ingekuwa Wazi, Serikali Ingetoa Muda Ili Kuruhusu Stock Za Wholesalers Ziishe Kisha Itoe Bei Elekezi.

USHAURI.
Serikali Kama Haitumii Hii Njia Basi Ni Vyema Ikaanza Kuitumia Baada Ya Viwanda Kuanza Uzalishaji Maana Kipindi Cha Masika Viwanda Vyetu Husimama Kwa Miezi Mi3 Hadi Mi4 Ili Kupisha Miwa Ikuwe Pamoja Na Kufanya Matengenezo Makubwa Ya Kiwanda.

ORODHA YA VIWANDA NA USAMBAZAJI MIKOANI.

TPC MOSHI (KILIMANJARO)
1. Kilimanjaro.
2. Tanga.
3. Arusha.
4. Manyala.
5. Singida.
6. Shinyanga.
7. Tabora.

KAGERA SUGAR (KAGERA)
1. Kagera.
2. Geita.
3. Mwanza.
4. Mara.
5. Simiyu.
6. Kigoma

MTIBWA SUGAR & KILOMBERO SUGAR (MOROGORO)
1. Morogoro.
2. Dodoma.
3. Iringa.
4. Mbeya.
5. Njombe.
6. Songwe.
7. Ruvuma.
8. Rukwa.
9. Katavi.
10. Lindi.
11. Mtwara.

Mgawo Wa Mipaka Kama Hiyo, Itaisaidia Serikali Kwa wakati Ujao Kujua Wapi Kiasi Gani Kimepungua Na Nini Changamoto Za Kanda Hii Au Ile Ktk Uzalishaji.

*Tusiishie Kuilaumu Serikali Na Badala Yake Tuisaidie Kimawazo Maana Taifa Ni Letu Sote Na Kama Sisi Hatutalijenga Kwa Ushirikiano Na Badala Yake Kupigana Vijembe, Basi Tutaendelea Kurithishana Umasikini Kizazi Hata Kizazi.

MTAZAMO WANGU TU.

Wholesalers Usiwatee kabisa. Bei ikipanda kiwandani nao wana stock ya zamani ya bei ya chini huwa wanaimaliza kabla hawajapandIsha bei?
 
Mkuu hakuna biashara ya namna hiyo ya kusubiri umalize stoch ya zamani ndio upandishe bei! Angalia EWURA wanapotangaza bei mpya ya mafuta ndio utaelewa namaanisha nini. Wakitangaza bei imepanda baada ya saa chache tu kila kituo utakuta wameshabadilisha bei. Wakitangaza imeshuka hata siku mbili zinaweza kupita bila wao kushusha. Mfanyabiashara yeyote anahitaji faida... hasara ni bahati mbaya tu.
 
Mkuu Bongo Hii Kwa Figisu Sidhani, Wapigaji Ni Wengi Sana, Coz Hakuna Takwimu Ambazo Bodi Inaweza Kuthibitisha Kwmb Tani Ngapi Za Miwa Zinatoa Sukari Kiasi Gani Maana Hata Hyo Miwa Ukipima Sample Utakuta Huu Uko Juu Na Ule Chini Viwango Vya Sukari Havilingani Japo Hesabu Ya Uwiano Ipo.
Hii ni biashara ya kisayansi.
Lazima ujue unakiasi gani cha miwa in area na unategemea upate uzito wa miwa kiasi Gani in tons na kisha utamu kwenye hizo tons kiasi Gani yaani sucrose. Pia sucrose recovery kutoka kwenye first extracted juice uijue.
Hapo wanataaluma wa kilimo na uhandisi hawana shaka hutoa vitu yamkini. Shida ni pale takwimu za uzalishaji zilizofanywa kisayansi kushindwa kushabihishwa na utumiaji sukari.
Huwezi cheza na namba za production hakuna mwekezaji atakaye kubali Hilo. Ila kubadili number ya uhitaji waweza maana hapo ndipo ulaji ulipo
 
Mkuu hakuna biashara ya namna hiyo ya kusubiri umalize stoch ya zamani ndio upandishe bei! Angalia EWURA wanapotangaza bei mpya ya mafuta ndio utaelewa namaanisha nini. Wakitangaza bei imepanda baada ya saa chache tu kila kituo utakuta wameshabadilisha bei. Wakitangaza imeshuka hata siku mbili zinaweza kupita bila wao kushusha. Mfanyabiashara yeyote anahitaji faida... hasara ni bahati mbaya tu.
Mimi Naamini Hili Ni Swala La Muda Mfupi Sana. Serikali Ilizuia Sukari Isiingie Ili Kulinda Viwanda Vyake Vya Ndani Si Hakuna Shida Hapa Ilifanya Vyema Tu.
Tatzo Litaisha Na Kujua Nini Tufanye Next Time.
 
Wholesalers Usiwatee kabisa. Bei ikipanda kiwandani nao wana stock ya zamani ya bei ya chini huwa wanaimaliza kabla hawajapandIsha bei?
Wholesalers Huwa Bei Ikipanda Nao Wanapandisha Fasta Lakn Ikishuka Hawashushi. Serikali Inakazi Kubwa Sana Ndugu Hasa Hii Yenye Nia Njema.
 
Mimi Naamini Hili Ni Swala La Muda Mfupi Sana. Serikali Ilizuia Sukari Isiingie Ili Kulinda Viwanda Vyake Vya Ndani Si Hakuna Shida Hapa Ilifanya Vyema Tu.
Tatzo Litaisha Na Kujua Nini Tufanye Next Time.
Shida hii is too temporary kuliko kuua viwanda. Soon itaisha. Viwanda vitaanza kusaga miwa kuzalisha sukari after two to three weeks from today
 
Back
Top Bottom