Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

Badala kuilaumu serikali, tuilaumu bodi ya sukari

bodo ya sukari ni agency ya serikali na ina report either directly au indirect kwa raisi. Kwa hivyo wanawajibika kusikiliza na kutekeleza maelekezo yake
Sure Mkuu Ndio Maana Nikasema Walitoa Takwimu Sahihi Au Walikuwa Waoga Kutoa Takwimu Sahihi.
Si Rahisi Serikali Yenye Nia Njema Izuie Kitu Bila Data Za Wakala Mwsh Wa Siku Iumize Watu Wake.
 
Hivyo viwanda vya Kilombero huhesabiwa ni kimoja kimantiki kwamba
1. Mmiliki mmoja
2. Wanavuna mashamba hayo hayo yaani miwa ya k1huweza kwenda K2
3. Lengo ni moja
4. Wafanyakazi huweza kufanya kokote na zipo idara nyingine ambazo hazigawanyiki nk
Halafu Inaonekana Wewe Ni Mwenyeji Wa Viwanda Vya Sukari Maana Mpaka Lugha Ulotumia Kama Lengo, Kuvuna [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] Nafurahi Sana.

Kuna Jamaa Anasema Viwanda Vyote Vinazalisha Tani Laki3 Wakat Mahitaji Ni Laki6.
Tumemuukiza Ni Kwa Muda Gani Kakimbia, Unasemaje Ktk Hili Mkuu.
 
Upo sahihi hii bodi pia nayo iangaliwe upya wawekwe watu wenye uzalendo inawezakana bodi nayo ni jipu
 
Sukari yote iliyo fichwa haifiki tani laki moja
mahitaji ni tani laki 6
uzalishaji wa ndani ni tani laki tatu

tuwe tunafikilia kabla ya kulaumu, kama mahitali kwa mwaka ni tani laki 6, maana yake mahitaji ya mwezi ni tani elfu 50. ukujumlisha tani zizilizopatikana dar, arusha na dodoma unapata kiasi gani, na ingeweza kutumika kwa mda gani? ila izo takwimu umedanganya, ninavojua tz tunaupungufu wa tani laki1.5 ngoja ntafute source.
 
Halafu Inaonekana Wewe Ni Mwenyeji Wa Viwanda Vya Sukari Maana Mpaka Lugha Ulotumia Kama Lengo, Kuvuna [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] Nafurahi Sana.

Kuna Jamaa Anasema Viwanda Vyote Vinazalisha Tani Laki3 Wakat Mahitaji Ni Laki6.
Tumemuukiza Ni Kwa Muda Gani Kakimbia, Unasemaje Ktk Hili Mkuu.
Uwezo wa kuzalisha upo chini. Hakuna kiwanda kilichofikia lengo.
TPC ndio waliofanya production vizuri compared to others. Ni kweli viwanda haziwezi zalisha mahitaji sahihi ya nchi. Kwa ujumla Kuna ton kama 300000+ lakini ni almost half way. So hizo Tani pungufu ziagizwe Bila kuathiri viwanda vya ndani.
 
Upo sahihi hii bodi pia nayo iangaliwe upya wawekwe watu wenye uzalendo inawezakana bodi nayo ni jipu
Bodi Ni Jipu Mkuu, Mbona EWURA Sasa Wanapiga Kazi Vizuri Tu. Bodi Haikutoa Data Sahihi Na Kama Ilitoa Data Sahihi Basi Haikuwashirikisha Wholesalers.
 
tuwe tunafikilia kabla ya kulaumu, kama mahitali kwa mwaka ni tani laki 6, maana yake mahitaji ya mwezi ni tani elfu 50. ukujumlisha tani zizilizopatikana dar, arusha na dodoma unapata kiasi gani, na ingeweza kutumika kwa mda gani? ila izo takwimu umedanganya, ninavojua tz tunaupungufu wa tani laki1.5 ngoja ntafute source.

Unashindwa kuelewa kuwa upungufu unaweza kuwa kweli umepangwa
but Magufuli aliwapa mazingira...
ili mradi hawapati ushindani wa sukari ya nje basi ilikuwa rahisi kwao kununua hii ya ndani na kuificha
bottom line kupiga marufuku kuagiza ilikuwa bad move toka mwanzo

jiulize hili...why wenye viwanda wawauzie watu hao hao wanaotuhumiwa kuficha?
ilihali serikali ilipiga marufuku ili kulinda viwanda vyao?
 
Mpaka Mwaka 2000 Mtibwa Walikuwa Wanauwezo Wa Kuzalisha Tani40 Kwa Msimu (Miezi9) Na Walikuwa Wanavuka Lengo, Sasa Leo Mtu Akinambia Hatufiki Tani Laki6 Kwa Viwanda Vi4 Siamini Hata Kidogo.
Njoo Na Data Mkuu.
 
Kwa nini uitofautishe Bodi ya sukari na Serikali?

Hii Bodi ya Sukari kwa ufahamu wangu ni wakala wa serikali inayotekeleza majukumu yake kwa niaba ya serikali.

Hata wajumbe wa Bodi pamoja na Mwenyekiti wake lazima ni appointees wa Rais mwenyewe direct au kupitia kwa waziri mwenye dhamana ya kilimo na chakula.

Therefore; Bodi ya sukari = Serikali na chochote kinachoendelea kuhusu sekta ya sukari hapa nchini huwezi kukitenganisha na maamuzi ya serikali!!
 
*Moja Kati Vitu Ambavyo Serikali Inatakiwa Ifanye Ni Kusikiliza Wananchi Wake Ikiwemo Sekta Binafsi.

*Viwanda Vya Sukari Vililalamika Kwamba Vinashindwa Kufanya Biashara Kwa Kuwa Sukari Nyingi Inaingizwa Kutoka Nje. Hii Inamaanisha Kwamba Sukari Ya Tanzania Inatosheleza Kabisa Na Hatuwezi Kuwa Na Mapungufu.

*Hata Hivyo Tanzania Tunaviwanda Vi4 Vya Sukari Ambavyo Ni,
1. TPC MOSHI.
2. KAGERA SUGAR.
3. KILOMBERO SUGAR (Moro)
4. MTIBWA SUGAR (Moro)

Zanzibar Nilisikia Kinajengwa Miaka Fulani Lakn Sina Uhakika Kama Kipo Au Lah.

*Serikari Ilifanya Vyema Sana Kusikiliza Bodi Ya Sukari Ambayo Ndiyo Inayoratibu Uzalishaji Wa Sukari.

*Tatzo Si Kwamba Sukari Hakuna Nchini, Ukweli Ni Kwamba, Mdudu Aliingia Baada Ya Serikali Kutoa Bei Elekezi. Whole Salers Waliona Kama Wanaonewa Maana Wao Walinunu Sukari Kwa Bie Ya Awali Na Kabla Stock Haijakata, Serikali Inatoa Bei Elekezi Ukizingatia Kuna Gharama Walizotumia Kwa Bei Ya Awali Na Si Hii Ya Sasa.

MASWALI YA KUJIULIZA.
1. Serikali Inawezaje Kuzuia Sukari Isiingie Nchini Bila Takwimu Za Bodi Ya Sukari Ambayo Ndiyo Inaratibu Uzalishaji?!.

2. Serikali Inawezaje Kupanga Bei Ya Sukari Bila Kuishirikisha Bodi Ya Sukari?!.

3. Je, Bodi Ya Sukari Ilitoa Takwimu Sahihi Au Ilikubaliana Na Serikali Kwa Nidhamu Ya Woga?!.

4. Je, Bodi Ya Sukari Iliongea Na WholeSalers Au Ilifanya Maamuzi Bila Kuwashirikisha?!.

5. Kama Bodi Ya Sukari Iliongea Na Wholesalers, Kwanin Isiwape Muda Wamalize Sukari Walonunua Kwa Bei Ya Juu?!.

6. Je, Bodi Ya Sukari Ili Ilizingatia Msimu (Low&High Season Of Production) Kwa Viwanda Vya Sukari Tanzania?!.

Wakulaumiwa Sio Serikali Bali Ni Bodi Ya Sukari Ambayo Nina Hakika Haikuwa Wazi Kwa Serikali Maana Kama Ingekuwa Wazi, Serikali Ingetoa Muda Ili Kuruhusu Stock Za Wholesalers Ziishe Kisha Itoe Bei Elekezi.

USHAURI.
Serikali Kama Haitumii Hii Njia Basi Ni Vyema Ikaanza Kuitumia Baada Ya Viwanda Kuanza Uzalishaji Maana Kipindi Cha Masika Viwanda Vyetu Husimama Kwa Miezi Mi3 Hadi Mi4 Ili Kupisha Miwa Ikuwe Pamoja Na Kufanya Matengenezo Makubwa Ya Kiwanda.

ORODHA YA VIWANDA NA USAMBAZAJI MIKOANI.

TPC MOSHI (KILIMANJARO)
1. Kilimanjaro.
2. Tanga.
3. Arusha.
4. Manyala.
5. Singida.
6. Shinyanga.
7. Tabora.

KAGERA SUGAR (KAGERA)
1. Kagera.
2. Geita.
3. Mwanza.
4. Mara.
5. Simiyu.
6. Kigoma

MTIBWA SUGAR & KILOMBERO SUGAR (MOROGORO)
1. Morogoro.
2. Dodoma.
3. Iringa.
4. Mbeya.
5. Njombe.
6. Songwe.
7. Ruvuma.
8. Rukwa.
9. Katavi.
10. Lindi.
11. Mtwara.

Mgawo Wa Mipaka Kama Hiyo, Itaisaidia Serikali Kwa wakati Ujao Kujua Wapi Kiasi Gani Kimepungua Na Nini Changamoto Za Kanda Hii Au Ile Ktk Uzalishaji.

*Tusiishie Kuilaumu Serikali Na Badala Yake Tuisaidie Kimawazo Maana Taifa Ni Letu Sote Na Kama Sisi Hatutalijenga Kwa Ushirikiano Na Badala Yake Kupigana Vijembe, Basi Tutaendelea Kurithishana Umasikini Kizazi Hata Kizazi.

MTAZAMO WANGU TU.

mkuu unazungumzia bodi hizi za wala rusha ,ni bodi gani mpaka sasa imeweza kufanya kazi yake , kuanzia TPA, TCRA, ,wao ukiwapa tu bahasha ya kaki wakotayari kusema hata mahitaji ya sukari ni tani 10m kwa mwezi ili hayo mabebari yapate kibali
 
Uwezo wa kuzalisha upo chini. Hakuna kiwanda kilichofikia lengo.
TPC ndio waliofanya production vizuri compared to others. Ni kweli viwanda haziwezi zalisha mahitaji sahihi ya nchi. Kwa ujumla Kuna ton kama 300000+ lakini ni almost half way. So hizo Tani pungufu ziagizwe Bila kuathiri viwanda vya ndani.
Hapo Umenena Mkuu,Lakn Unafahamu Kwmb Ipo Sukari Ya Tz Inauzwa Nje? Mimi Naamini Hata Kama Haifiki Lakn Si Kwa Kiwango Kikubwa Sana.
 
Unashindwa kuelewa kuwa upungufu unaweza kuwa kweli umepangwa
but Magufuli aliwapa mazingira...
ili mradi hawapati ushindani wa sukari ya nje basi ilikuwa rahisi kwao kununua hii ya ndani na kuificha
bottom line kupiga marufuku kuagiza ilikuwa bad move toka mwanzo

jiulize hili...why wenye viwanda wawauzie watu hao hao wanaotuhumiwa kuficha?
ilihali serikali ilipiga marufuku ili kulinda viwanda vyao?
Serikali Ilipiga Marufuku Baada Ya Kuuziwa.
Hawa Wholesalers Huwa Wanaweka Order Na Malipo Mapema Hata Msimu Haujaanza Kazi.
 
Hapo Umenena Mkuu,Lakn Unafahamu Kwmb Ipo Sukari Ya Tz Inauzwa Nje? Mimi Naamini Hata Kama Haifiki Lakn Si Kwa Kiwango Kikubwa Sana.
Hakuna sukari ya kuuza nje
Wakati wa ugumu wa soko bado nchi ilinyima kibali.
Four years ago kulikuwa na soko la upendeleo kwa afrika na specifically Tanzania for white sugar. Tulishindwa baada ya soko kuondoka na refinery plant kutolewa kabisa.
 
Kilombero 120000
Mtibwa 10000
TPC 110000
Kagera sijui je laki Sita ziko wapi?
So Nani Tumshike Mchawi Mkuu?!.
Serikali Inayolinda Maslahi Ya Viwanda Vya Ndani Au Au Bodi Ya Sukari Ilotoa Takwimu Ambazo Si Sahihi Ama Zilikuwa Sahihi Lakn Haikuwashirikisha Wholesalers?
 
Back
Top Bottom