Unabanwa na joto lote hili halafu anajifanya kawasha feni unaamka na mafua asubuhi taabu tupu tu yaani
Hahahaha atakwambia ukinichoka uwe unalala sebuleni na joto likozidi jilaze sakafuni.
DA jamani hata kukumbatiwa? Mi napenda sana aisee. . .
una akili nyingi sana wewe!1. Jitu limekuja kaunta linakukuta unakunywa Tusker Malt yako taratibu, afu na lenyewe linaagiza yake afu linamwambia akaunta "Hii bia atalipia ODM"......... Pumbaf kabisa.
2. Umechukua kimwana chako ushalipia room yenye godoro la comfy, unamwambia kimwana twenzetu tukaunganishe vimwaga mkojo vyetu mara unajibiwa oh sorry, cha kwangu kiko kwenye emergency leave.... damn it!
3. Unaenda kanisani kupunguza zambi zako basi padre/mchungaji ye anazungumzia umuhimu wa kumtolea Bwana sadaka tuuuuuu..... shit!
4. Umemwaga yuziful post kama hii, watu wanaipenda afu wanacheeka lakini wanasahau kuitendea haki ya kuigongea kale ka chakula ka LIKE..... manina!
HC hajambo? msalimie.he he he he dearest:
Bad habits zangu:
Mi naturally napenda utani na uchokozi...sometimes inaniletea shida as wakati mwingine natania wakati mtu yuko serious.
Napenda kufanya kile ninachotaka, kwa wakati ninaotaka na kwa namna ninayotaka....sipendi kusukumwa
Mvivu, kuna wakati sijisikii kufanya chochote,nataka nikae tu...lol
Nazochukia:
mbahili au anayetumia hela ovyo ovyo na kutaka usawa kwenye matumizi...am a woman for God's sake, be a man!
mwenye kuongea sana au ambaye ukikosea hata ukimuomba msamaha,ye analo tu,kelele
mchafu, siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asiyependa kushirikiana nami na kunishirikisha kwenye mambo yake ninayopaswa kujua
Ha ha ha ha ha nimechekaje mie mweeehhh hizo bold nimecheka mpaka mkoloni ananiangalia mweheee
Kwa kweli mie huwa nikiona sijasafiri kikazi karibu mwezi unakwisha napanga kwenda kumsalimu mama ili nilale peke yangu angalau Ijumaa na Jumamosi sio kubanwa banwa tena ukute mwingine anayependa kukumbatia ndo utaisoma namba maana na mijasho ya dar taabu tupu kha????
DA jamani hata kukumbatiwa? Mi napenda sana aisee. . .
Lolest,aombe hicho kitanda kisiwe kile nilichozawadiwa kwenye kitchen party au send-off, atalala sakafuni....tena umenifungua macho,nikiulizwa wataka nini kwenye kitchen party na send off, nasema kitanda na mashuka yake....lol....nitakifunga hata sebuleni kwake...khaaaaaaaaaaaa!
Unajua dearest kuna wakati maisha yanatufanya tufanye choice fulani fulani...mi juzi nimeenda sokoni,kununua vitu tu vya kutumia nyumbani....yaani nilienda na elfu kumi,vitu nivivyorudi navyo havikidhi hata nusu ya mahitaji niliyokuwa nayo....nikawa nawaza,halafu hapo nimepata mume wa kipato cha chini kama mimi,hivi kweli tunaishije? Chumba tupange tubanane, kwenye kula nako tujibane,shule ya watoto,matibabu...etc etc....?nikasema si walaumu wanaochukia wanaume wa kipato cha chini...sasa ndo hayo ya kuwasha feni kwenye mivumbi, watu tuna allergy zetu....kweli kila mtu achague analoweza kubeba.....!
HC hajambo? msalimie.
Hiyo inanirahisishia na kunipunguzia watu wa kuwatolea nje.Lizzy haya uliyoyaandika hapa kuhusu personal habits zako(ubishi,ukorofi,kiburi etc) kama ni ya kweli na sio ya kufurahisha baraza (maana weekend inakaribia) then let me sum you up,YOU ARE A DIFFICULT PERSON, and for that matter wanaume wa kiswahili ninaowajua mimi hawakufai kabisa na wala wewe huwafai kabisa! Samahani kwa kusema hivi but that is my take.
Wengi wetu tunapenda ila sasa joto hadi mtu akikuwekea mikono inaganda kwenye ngozi,unajisikia kama kuchubuka...kero iyo!
Hashy bin Cool!Ndo nani huyo Bishanga?
Hahahahaha dearest bana. . . si atanuna alafu kesho yake pasikalike? Jitahidi sana 'changu,yangu' yasiwe maneno ya utambulisho wako.
Jamani sasa kama ndio raha yake?
Usimbanie bana.
Jinsi nijuavyo mie,uhusiano wowote unahitaji mawasiliano baina ya washiriki,ili uweze kuimarika.
Tatizo baadhi yetu tunafikiri kwamba wenzetu ni "mind reader" na kwamba wana uwezo wa kutambua kila tunalohitaji...
Hizo ni fikra zisizo sahihi na hazina manufaa katika mahusiano.
Tukumbuke bila mawasiliano hakuna maelelwano na bila maelewano hakuna uwazi,na pasipo uwazi,hakuna uhusiano....
Nakwambia mijasho mwanzo mwisho kha?