Bad habits

Hahahahaha dearest bana. . . si atanuna alafu kesho yake pasikalike? Jitahidi sana 'changu,yangu' yasiwe maneno ya utambulisho wako.

siamini kama mwanamke wa mtazamo na namna kama yako anaweza kuamini kwenye hili.to me huu ndio mtazamo sahihi kabisa na umenishangaza!unaji-balance vizuri kweli kweli.naogopa tu kusema 'perfectly'!
 
Hata mimi naona hii style inahusu zaidi kwasababu hufanyi kufuata mkumbo bali unafanya kwasababu umependa mwenyewe.
 
tabia mojawapo nisiyoipenda ni mtu kulala na jeans, cadet au combat kitandani usiku bila sababu za msingi!

Hahahahaha. . .hivi mtu atalalaje na hizo nguo? Huko ni kujiadhibu!!
 
siamini kama mwanamke wa mtazamo na namna kama yako anaweza kuamini kwenye hili.to me huu ndio mtazamo sahihi kabisa na umenishangaza!unaji-balance vizuri kweli kweli.naogopa tu kusema 'perfectly'!
Hahahaha. . . Mtazamo wangu unahusu sana mtu kutokua mbinafsi.

Ahsante kwa kushangaa!!
 
tabia mojawapo nisiyoipenda ni mtu kulala na jeans, cadet au combat kitandani usiku bila sababu za msingi!

hivi wapo wanaoweza hii?aisee mi napenda kulala nikiwa mwepesiiiiiiii bila kitu cha kunighasi kabisa,labda boxers na singlet tu.(ndo maana mimi zoezi la kukumbatiana mpaka asubuhi haliwezekani kabisa aisee).sipendi kuguswa guswa usingizi ukikolea japo naishi kwenye baridi.
 
I hate vyote ulivyotaja hapo ila tu kuongezea,..i hate selfish people plus mwanaume anaejisifiasifia,sijui but i surely hate it..
 
napenda kuheshimiwa kama navoheshimu
napenda kupendwa kama navopenda
sipendi wivu uliopitiliza
 
I hate vyote ulivyotaja hapo ila tu kuongezea,..i hate selfish people plus mwanaume anaejisifiasifia,sijui but i surely hate it..

Ukitaka asijisifie sana jaribu KUMSIFIA.
 
I thought i knew all the bad habits there is to know out there but damn nimegundua kuna mpya bwana.Aiseee!!!!
 
Yaani nimecheeka, hadi tumbo linauma mbavu ndo basi tena. Hiyo ndo ASPRIN siyo.
Nimeikubali😛oa
 
Umegundua zipi?

Kuna mtu hapo juu kasema yeye hapendi kuguswaguswa akiwa amelala sasa kwa fikira zangu za kawaida kwa mtu kama huyu akioa au kuolewa itabidi kitanda kiwe na ukuta katikati ili kupunguza migusano isiyo ya lazima.This can also be referred as almost impossible.
 
Hapo kwenye red muhimu mnoooo. Very good point, i like that.
 
Ohhhh that. . .
Yeahhh kuna watu wasiopenda aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…