The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Alaaa....
Ulikua hujui?
Alaaa....
Nyani Ngabu kila lugha ina wazee wanailinda hiyo lugha isije badilika kabisa na kuwa na lugha ingine
nna uhakika kamusi za UK zina tofauti na kamusi za USA
kwa vyovyote vile watu wa UK kuna baadhi ya misamiati watakuambia ya kwao ndo 'sahihi'
hata kama yaliyo popular ni ya USA......
Ulikua hujui?
Inawezekana zote mbili zipo japokuwa hiyo ya jasiri mimi huwa nashindwa kuielewa kwa kweli. Angalia mifano hapa chini.Methali ni 'mjaa asili haachi asili'
sio jasiri
Methali ni 'mjaa asili haachi asili'
sio jasiri
Ifike tyme bongo kuwe na system ukitupia plate number google au website maalum unapata who's owner of the cars some details ingekua safi sana.
Kuna nchi ina hiyo kitu? I can think of a million ways in which that system jeopardizes the security of people.
Polisi ndio wana access na hio.
Hata DMVs wana access....
I always stay away from fire.....
Ifike tyme bongo kuwe na system ukitupia plate number google au website maalum unapata who's owner of the cars some details ingekua safi sana. Ila Kasinde unaGenye amna lolote