Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Mchina sio hilo. Hiyo ni kerosene stove "stova"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
buahahaha ..marufuku kujiita kijana.huyo muhindi anafanana na Christiano Ronaldo..isije ikawa ndo mzee Ronaldo mwenyewe
Mchina ndiyo ipi ?! Iweke hapa tuione .Mchina sio hilo. Hiyo ni kerosene stove "stova"
Taa ya karabai hadi leo kwa wavuvi zipoJiko la stove... Linatumia mafuta ya taa lakini linawaka kama gas... Kuna taa ya karabai pia....
Jr
Lini uliniuliza nikakwambia hivyo!!
Dumb head.
Mbwahaaa haaaa mbwahaaaaaa
ilikuwa dawa ya nini hiyo....?
Hii nimeikuta. Enzi hizi tuko wadogo sana.
Utamaduni wa tai na koti bado haujafika enzi hizoRais idris abdul wakil,waziri prof.mwandosya,jakaya kikwete(naibu waziri wa maji,nishati na madini.tiper kigamboni mwaka 1989/90View attachment 997181
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Yeah,109.Ila naona kuna low na high gear
Jr
Hiyo moja(low gear) tuliita "gia ya mchanga".Ndiyo.. Land Rover inazo low range na high range gear lever..
Katika hizo model za mwanzo zilikua ni gear lever mbili tofauti. Baadae ndy zikawa zapatikana kwenye gear lever moja tu (4WD)….
Sent using Jamii Forums mobile app