Mbona unatokwa na OMO au umezeeka mama??? Uzee hauna tiba mshukru Mungu kama umeuona uzee huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo kigori wa zamani..!Ndio nimezeeka nilizaliwa mwaka 1942 so uzee upo wa kutosha,hio omo chukua kafulie shosti
Taa ya karabai tumetumia sana, nyumbani miaka ya 80 hadi 90 inamwaka mzuri sanaJiko la stove... Linatumia mafuta ya taa lakini linawaka kama gas... Kuna taa ya karabai pia....
Jr[emoji769]
Hiyo pesa ilikuwa bora sana, enzi za Uncle NkapaBlue blueView attachment 995697
Ukiulizwa umri utasema uko btn 22-25[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka mbali, kitu cha stove unapump hadi mafuta yapande juu ndio unawasha. Alafu moto ukipungua unapump tena. Daaaah kitambo sana.
Ahsanteee na poleee kwa stressKama anajifanya demu wako au dada zako ni huko huko sio kuleta kauli nyoko humu. Mmezoea sana kudhalilisha wanawake kila siku nyie tu na kauli za kifedhuli mfyuuuu zako
Lini uliniuliza nikakwambia hivyo!!
Unaota eeh!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Unaota eeh!
Actualy am 16.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza haujambo?
Mpuuzi mmoja tu.
Kaingia cha kike.
Ameingia cha kike kakurupuka bila ku***mba matokeo yake anatuletea harufu hapaKaingia cha kike.