Karabai nalijuaJiko la stove... Linatumia mafuta ya taa lakini linawaka kama gas... Kuna taa ya karabai pia....
Jr![]()
Huyu pia enzi hizo ili uonekane dereva mzoefu na maarufu ni lazima ujiite Shakeland .
Tumetoka mbali sanaHuyu pia enzi hizo ili uonekane dereva mzoefu na maarufu ni lazima ujiite Shakeland .
Na hizo gari ndo zilikuwa zenyewe. Ukipaki 304 na hii hupati abiria .
Kiboko yake ilikuwa 504 au 604
Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna kitu kilikuwa kinasumbua kama mkanda kujinasa na ukute ni best collection yako utahangaika kurekebisha mkanda
hili ni gari au treni?