Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
ha haaaaaa, babu unataka short cut? na uzee huu utaweza? shauri yako....... naku-warn tu
Acha kunitisha bwana @FP,
Why not.....mbone wewe umeweza kufichwa muda wote huo na kurudi bila majeraha au kilema?
Wewe uweze una nini na sisi tushindwe tuna nini??
Litakalokuwa na liwe.....bora inzi afie kwenye site!!
Babu DC!!