Back from Honeymoon

Back from Honeymoon

welkam bak FP mzima wewe??? we missed u dearly, lazma honey moon itakuwa imezaa matunda! lol, nilikuwa jela kwa ushirikiano wa viranja wa hili jamvi, but at last nipo mtaani kama kawa, tutajuzana zaidi, karibu tena!
rafiki yangu kwanza pole kwa yaliyokukuta, ila nafurahi nimekuta umerudi maana ningekumissije ningekuwa huku halafu haupo!. Nashukuru kwa kunimiss, nasubiri updates taratibu taratibu
 
Congratulations FP and welcome back... The achievement you've done is a dream to most of human being. The marriage is very important but you've got to be a student in order to know it if you wanna be great on it. Welcome.

Asante sana rafiki yangu.........
 
Umeona eeh, babu!
usawa huu ukishikwa shikamana.......... ni uteja kwenda mbele

Haki ya nani wewe FP unanitamanisha wakati bado kuna siku za kutosha kabla ya kuifikia Dec..

Ngoja niwasiliane na Mzee mwenzangu Blaki Womani ili tupeane maujuzi ya kutafuta short cut....

Na hapa wale wakujuu watukutu hawaruhusiwi kupaona ..

Cc.. Erickb52, Arushaone, Preta et al!
 
Last edited by a moderator:

ha haaaaaa, babu unataka short cut? na uzee huu utaweza? shauri yako....... naku-warn tu
 
KakaKiiza ni bora kurudi kwa Preta kuliko lara 1 yan kule ni wrong number bora uombe nikupatie kadogo kangu ka nivea

Hahahaaaa! Mwenzio KACHOKA NGOMA ZA KITOTO HAZIKESHIIIII!!!!!!!!!!!! Sasa anataka ajaribu MUZIKI YA WAKUBWA!!!!!!! KakaKiiza usijali bana WHEN THE CAT WASHES ITS HANDS IT CAN DINE WITH THE KINGS!!!!!!!!! Sasa wewe jipange tu si unajua KINA CHA BAHARI HAKIPIMWI NA MGUU!!!!!!!!!

Penye nia pana njia!!!!!!
 
Maneno ya busara umfanya mtu aeleweke anabusara!hatua moja uanzisha nyingine!!!Ila kaa ukijua mahali penye neema hapakosi fitna utawaona simda mrefu wakianza hoo KakaKiiza yupo na Preta mara Erickb52 alisha sema ni wa mtu chake sasa mimi nimesha sahula tayari kwa kogerea siyo kutia mguu bali na mimi ndani ya maji!!!!
 
Last edited by a moderator:
nivea ujue kaamua hivikwakujua utakuwakatika mikono salama au wewe hili unalionaje?advise!
UNAINGIZWA MJINI HIVI HIVI KakaKiiza huyu kaka yangu huyu Erickb52 ameshakula mahari nyingi ilhali keshaniozesha zamani na analijua sasa kazi kwako mjini shule at sikuhizi wanawake ni source of income kama biashara nyingine .shikamoo kaka yangu
 
Pesa ya Msomali hailiki!Mwenyewe hili analitambua!!Kwetu matejoo!Bibi anakaa unga limited pata jibu!
 
Pesa ya Msomali hailiki!Mwenyewe hili analitambua!!Kwetu matejoo!Bibi anakaa unga limited pata jibu!
hehehehehh umenikumbusha kaka kiiza hao watu walinilisha sabuni nikiwa na 3yrs wakanidanganya ni mkate lol kwetu pazr nimepakumbuka
 
Back
Top Bottom