ah humu bana mi mwenyewe unafikir nilikuwepo kuwepo sana basi!kuna kazi moja inanipelekesha kweli kweli mamii!hapa mpka sasa hivi nipo ofisin kwa mtu animalizie stage fulani kisha niendelee!humumwali hakuna jipya saaana sema tu Natalia ana dollar anataka kugawa cacico mke mwenza walimfanyia mtima nyongo lakini na ye wala hakufanya makosa alijilipuaje pande za shem wetu!nina hakika muda si mrefu itabidi tuanze kubeba ndimu au ukwaju humu
@kogosho kawekwa mtu kati na zombie lake limechoka kushika mapembe huku kina Asprin wanakamua maziwa ,limeamua kufunguka live na linataka ndoaas soon as posibo!na mi nilivo mpana ka gagulo la kisomali nisapendekeza hadi rangi,mabridemaids,sijui wale wa kusindikiza wimbo,tayari nishaomba undugu kwa zombie ili nimpeleke kwa mamake Kongosho na mambo mengne yaendelee
halafu nilisahau kunasiku tulimsuta gfsonwin lakini duh!alitutoaje kamasi ila wee alichemsah mwisho wa siku!
halafu na nini tenaaaaaaaa enhe nimekumbuka naniii yule tena alikuwaga mchumba wako wa zamani yule,ah! sijui alisemaje vile ngoja nikumbuke!
ha haaaaaa, binamu type writer nimeshaacha kutumia, asante kwa kuniambia hilo.
pole sana kwa kunimiss binamu. mama mkwe mwambie aandae kuja kupokea mapacha wao siku zikifika, lol!
ha haaa, rafiki yangu BAK ulipotelea wapi? yaani tumekuita sana hapa wala hujataka kutokea.Kumbe eeh! ndio maana unazidi kunawiri na kupendeza!!! macho yanazidi kung'aa, ngozi nyororo utadhani ya kichanga na nywele zilizonawiri zinakaribia kushuka hadi kiunoni....Kupenda na kupendwa raha sana asikwambie mtu FP unalala ukiwa na tabasamu la nguvu, ukiamka una tabasamu la nguvu siku nzima ni raha tu vicheko visivyokwisha na chakula kitamu kuliko vyote duniani CHERISHED FOOD...Mweziasali unaupata mara mbili kwa mwaka kunako anniversary na kwenye Xmas kwa hisani ya watu wa America ... Hongera zako nyingi FP jirushe kwa raha zako...msalimie sana TEJA 🙂🙂mwambie maradhi hayo ni mabaya sana asigomee matibabu lol!:majani7:
umeona eeh rafiki..... hakuna anayetaka uteja uishe....Sasa baba, akikubali matibabu si uteja utaisha? Bora akatae tu ili uteja uendelee, una tamu yake.
mlongo wangu usiogope wala nini, dada mkubwa nimerudi, tutawasuta na chomanga.......... au mkwajungomaah umbea sunna bibi!kusutwa majaaaliwa!
asante sana binamu...... siku ikifika karibu sana, tutakuelekeza.dah hongera binamu ntakuja mnielekeze na mimi namna ya kupata mapacha ili nifunge kazi mapema
mkwe ntamwambia aanadae kisusio na mtori wa nguvu aache mbwembwe zake za kutembea na toy mgoni akikuchuria
viumbe gani tena hao?bada hawajaanza kupiga mateke hao viumbe
zimefika...alafu mbona umekimbia ile thread yako kule mm nilikua naomba unisaidie kitu nenda kule utaona vile niliuliza ok
ha haaa, rafiki yangu BAK ulipotelea wapi? yaani tumekuita sana hapa wala hujataka kutokea.
asante sana kwa maneno mazuri na hasa muziki, nilikumiss sana (baada ya kurudi mweziasali) nikajiamulia kujifanya DJ mwenyewe kwa muda.........
Yaani CHERISHED FOOD ndo ilikuwa breakfast/lunch/dinner, hata in between snacks zilikuwa Cherished..... utatutamani.
TEJA mwenzangu kagomea kabisaaaaa matibabu, yaani kila nikigusia twende rehab tupate nafuu kidogo ananipiga chenga na mara ya mwisho kapiga marufuku kuongelea rehab... anasema anafurahia kuugua huo ugonjwa, lol!
Kwa kweli rafiki yangu nimeamini kabisa kupenda/kupendwa raha sana. mkikutana wote mpo kwenye boat moja basi ni starehe zaidi, lol!
asante sana binamu...... siku ikifika karibu sana, tutakuelekeza.
huyo mkwe mwambie wala asihangaike na mitori....shem kapiga marufuku kuongeza mwili, sasa mitori si itanifanya niwe na extra kazi ya kuupunguza mwili?