snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Marahaba mdogo wake FP lol! dada yako kashikwa akashikamana. Yumo ndani ya mahaba mazito kupita kiasi. anasema maraharaha ni kupita kiasi. Anaamka na tabasamu la nguvu siku nzima anashinda na tabasamu lake la nguvu na kupanda kitandani na hilo tabasamu lake. Amebahatika sana kupenda na kupendwa kiasi hicho. Chezeya mweziasali mara mbili kwa mwaka weye!!!
muache tuu ajilie raha BAK
siye kwetu tunaogeshewa mpenda penda twapenda twapenda mpaka tunaudhi!lol
ahahahhahahhah dada mkubwa popote ulipo mama jiachie kwa raha zako!wala hugombwi mwali!
NDO URITHI ALOTUACHIA BIBI HUO BAK
Last edited by a moderator: