Back from Honeymoon

Back from Honeymoon

Huyu jamaa kwa kweli mie simuelewi kabisa. Yeye baada ya kutemwa angesubiri sana sana miaka miwili tu lakini miaka 13 duuuh!!!! Kuna haja ya kumuomba Dr wa kweli MziziMkavu amcheshie mizizi ya mhina iliyochanganywa na mkojo wa mjusi, manyoya ya bata na kwato za pundamilia ili umsaidie vinginevyo atakulaumu sana kwa kumkatishia mapenzi yake kwako.

ahahahhahahhahahhhahah !HATUACHIKI SIYE!
 
Huyu jamaa kwa kweli mie simuelewi kabisa. Yeye baada ya kutemwa angesubiri sana sana miaka miwili tu lakini miaka 13 duuuh!!!! Kuna haja ya kumuomba Dr wa kweli MziziMkavu amcheshie mizizi ya mhina iliyochanganywa na mkojo wa mjusi, manyoya ya bata na kwato za pundamilia ili umsaidie vinginevyo atakulaumu sana kwa kumkatishia mapenzi yake kwako.
alianza yeye lakini rafiki, mimi nilimalizia tu......
na najitahidi kumwambia past kwangu haina nafasi haamini, lol!
ngoja tumtafutie tu hiyo mizizi
 
hahhhahhahhahaahh siye twajua kupenda mfano hakuna!
wala utakuwa hujakosea rafiki yangu!we rudi tartiiiiibu!
ujilie mautamu uzuri ni kwamba watujua walahi kwa hiyo wala mi na FP hatuna kaaazi kuuubwa ya kukufanya utuelewe!
ABCs si amezipata hapa! yaani aanze tu kuchapa lapa.
 
hahahahaha lol! shurti kwa msisitizo...Nimecheka sana aisee lol! Mnuno wa nguvu hahahahaha lol! mie sitii neno tena lol!



kwa raha zetu dadangu NANI KANUNA? ahahahhahhaahhahha BAK nilimwambia hakutakiwa kuondoka zile pande za peramiho akawa mbishi!ahahahahahha BAK inawezekana kurudi tena bana!hebu ongea vizuri na moto2012 akupe maujanja!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahhhahhahhah SAFARI NJEMA !mi naandaa kabisa show ya kioda huku!dada mkubwa tuanze kumuandalia mlongo wetu lijamanda si unajua mama alituachia hiyo kazi tena hasa wewe dada mkubwa
usijali mlongo wangu, mimi dada mkubwa nitafanya hiyo kazi ya lijamanda
 
hahahahaha lol! shurti kwa msisitizo...Nimecheka sana aisee lol! Mnuno wa nguvu hahahahaha lol! mie sitii neno tena lol!



h ahaaa, chezeya watoto wa Peramiho weye, utacheka hata kama unanunishwa, lol!
bora kabisa usitie neno hapo rafiki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom