ha haaaaaa, rafiki yangu
BAK ndo maana nilikumiss sana ulipokuwa huko unashangilia ushindi wa BO, usiwe unapotea bwana, maushauri kama haya ndo huwa tunayahitaji hapa mara kwa mara. nimekupendaje sasa, lol! Asante sana.
Ngoja nimwite mlongo wangu
snowhite aje apate haya mautamu hapa. maana najua tupo wote kwenye haya mambo ya uteja, hakuna kupenda nusu nusu hapa, lol!
Rafiki nitafurahi sana kujiunga kwenye hicho chuo chako..... huyu teja atalipa kiwango chochote utakachotaka..... hilo halitakuwa na shida kabisa, cha muhimu mwanafunzi afaulu.... na nakuhakikishia mimi ni mwanafunzi mzuri sana, sitachukua muda mrefu kama una wakufunzi wazuri..... nipo serious ujue
BAK
Huyu teja, Eish, sijui hata nimfanyaje...... naendelea kumpeleka taratibu ili siende kwenye uchizi, sitaki afike huko kabisa.
huyo jamaa wa kufa kibudu simlaumu rafiki, hata wewe ukipenda hivyo unaweza kusubiri maisha yako yote, lol!
asante sana rafiki kwa clip, naomba nisiongee zaidi kuhusu hili, jua tu nimeipenda sana.
Barikiwa sana rafiki yangu kwa michango yako....